Hofu Al Hilal, J-tano kuweka kambi Lubumbashi kucheza na Mazembe

Hofu Al Hilal, J-tano kuweka kambi Lubumbashi kucheza na Mazembe

Yanga bado hajaanza nashindano rasmi, ligi ya ndani, kumfunga simba na kumtoa zalan sio kipimo sahihi kwa Yanga kufanya vizuri kimataifa, kwa mtu mwenye knowledge na mpira lazima atakuwa anatafakari Sana hatma ya Yanga kimataifa cz ile hali ya kusubiri kipindi cha pili wale wasudani energy ikiwa imekata ndio uwafunge ilikuwa unafikilisha Sana ila ngoja tusubiri tuone
Mpira ni dakika 90 it doesn't matter unapata goals dakika zipi wangefungwa kipindi cha pili mngesema Yanga wanakata moto hua hamkosi maneno
 
Kuna tea nliiona inacheza ligue za mchangani...na yenyewe inashirik haya mashindano?0
 
Mimi yanga.. nashauri pia timu yetu ijiandae.

Mwenzako akiwa anajiandaa . Usimpuuzie
 
Back
Top Bottom