njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Siwezi kuwa kolo mimi, hapo hamna cha kusubiri tarehe nane we si unaona al hilal wanavyohaha?Japokua wewe ni simba.
Ila kuna muda unaongea madini sana...
Uko sahihiMechi za Yanga vs Simba na Yanga vs Zalan zimetoa onyo kali kuwa gari ya kusaka makombe ya CAF na Club bingwa ya Dunia imewashwa!
Kocha Prof Nabi aka Ferguson hataki majeraha ya kijinga ya friend matches. Jukumu letu wananchi ni kuwasubiri waarabu na kuwapiga tu maana hakuna namna.
Lete Kisinda tuone waarabu wapi panavuja! Simba tayari tunajua Tshabalala , Onyango na Inonga ni uchochoro zetu!
translation ya google hiyo posts zao zote uki translate dar young kwa kiarabu chao inakuja youthJamaa wana dharau, yaani Yanga ndio wanaitwa Tanzanian youth?
Hebu taja mara ya mwisho utopolo kwenda quarter final ya champion league? KUDADADEQ UNAJAMBAJAMBA TUUJapokua wewe ni simba.
Ila kuna muda unaongea madini sana.
Nimeipenda sana hii kauli.[emoji116]
"Hawana tofauti na makolo wao kila siku kusafiri ila wakija taifa mayelle anawagonga tu"
Anyways!! Tusubiri tuone hiyo tarehe 08.
Siwezi kuwa kolo mimi, hapo hamna cha kusubiri tarehe nane we si unaona al hilal wanavyohaha?
Team inayojiamini haina haja ya friend matches