Yanga bado hajaanza nashindano rasmi, ligi ya ndani, kumfunga simba na kumtoa zalan sio kipimo sahihi kwa Yanga kufanya vizuri kimataifa, kwa mtu mwenye knowledge na mpira lazima atakuwa anatafakari Sana hatma ya Yanga kimataifa cz ile hali ya kusubiri kipindi cha pili wale wasudani energy ikiwa imekata ndio uwafunge ilikuwa unafikilisha Sana ila ngoja tusubiri tuone