Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
thread closed
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka 39una umri gan
Tezi dume ukiliwahi wala sio shida unapona tu ila kwa dawa za kienyeji tena rahosi sana
Shukrani mkuuUmenikumbusha kuna kipindi niliumwa dalili zote za matatizo ya figo.. lakini nilipoenda hospital..nikakutwa Niko vizuri..
Unajipa woga wa bure..nenda hospital kubwa yenye mtaalamu wa mfumo wa mkojo (urologist) atakutibu bila shida
Vp mrejesho mkuuShukrani mkuu
Hali yangu nimepata nafuu ingawa ya mashaka, bado najisikilizia nione maana ni 23 ya mwezi uliyopita nilimaliza doziVp mrejesho mkuu
Pole sana. Usiache ku share nasi maendeleo yako.Hali yangu nimepata nafuu ingawa ya mashaka, bado najisikilizia nione maana ni 23 ya mwezi uliyopita nilimaliza dozi