Bigirimana alicheza tena ile mechi tuliyowakandahuyu jamaa anaweza hata kumleta Bigirimana
Rage ana mademu wengi sana huko Yanga,kila anayekuja anamsifia Rage anawapelekea moto wa iAfadhali hao wawili, je hapo mkiani Hali ikoje? [emoji116]View attachment 2581103
Mpira hauna hesabu za hivyo mkuu kwamba kwavile fulani katoa sare au kafungwa goli moja basi na timu fulani kwavile ni bora kuliko fulani basi atashinda tu. Hakuna kitu kama hicho kwenye mpira na kama kipo basi anza kwa kuhofia kitendo cha juzi Wydad kutoka sare ya mbili mbili na timu iliyompiga simba goli tatu tatuMechi mbili za Wydad Casablanca dhidi ya As vita ya Congo limepatikana bao 1 tu , tena bao hilo lilifungwa pale MOHAMED V STADIUM .
As vita amemaliza akishika mkia kwenye kundi A , yani ina maanisha As Vita ndiye alikuwa kibonde wa kundi kila mtu anachukua point kwake .
As Vita hana ubora kuliko Simba Sc kwasasa kwenye michuano ya CAF na wala hakuna timu bora zaidi ya SIMBA SC kwenye ukanda wa Afrika mashariki na kati linapokuja suala zima la CAF upande wa vilabu .
As Vita anakutana na Wydad tena kwao anaruhusu bao moja tu , anaenda kwake anapata sare ya 0-0 , hapo unapata funzo yakwamba kule Mohamed v Mohamed ,panatisha vibe la mashabiki ila kanda za video za As vita zinaweza kutumika kwenye kuifunza Simba Sc jinsi ya kucheza na Wydad pale Mohamed v Mohamed .
Cha maana Simba Sc inabidi imalize mchezo palepale LUPASO alafu ugenini ,wanaishi na Wydad ile KIFAZA yani mifumo ya Jose Mourinho, kuanzia namba ya nyuma hadi kwa washambuliaji wanaweka mabeki .....
Hofu ni hii inayotambaa kwasasa lakini Uhalisia Wydad anawezekan a ,na kama Simba Sc ina ndoto ya kutwaa taji hili inabidi icheze na timu kama hizi zenye Ubingwa huu , maana hatua hii wanacheza mabingwa huwezi ikuta Lipuli huku , kwahiyo hofu isitawale sana , Uhalisia ni kwamba Wydad wanawezekana ..kibaya zaidi wenye hofu zaidi ni watu wa Yanga kuliko simba wenye shughuli yao....
View attachment 2580989
Umaandazi umekuzidi.Naona mpira umeanza kuujua leo, Raja kakugonga nje ndani, kampiga Vipers 5 kaenda ku draw Kampala, wewe ukampiga Vipers nje ndani kwa kutumia mfano huo tunga sentence inayo anza na neno mimi ni bwege
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Tungeuona huo ubora kwa RajaUmaandazi umekuzidi.
Kimsingi kasema Simba wakikaza inawezekana, kwanini AsVita na ubovu wao walionesha kitu halafu Simba ishindwe.
Ukizingatia Simba Ndiyo timu bora pekee ktk ukanda huu wa mashariki na Kati. Km hutaki hili ulete takwimu.
halafu akapelekwa tena Newcastle kwa mkopo! 😁. Yaani kweli Hersi anadhihirisha wapo wawili, huku naye akiwa hayumo kati yaoBigirimana alicheza tena ile mechi tuliyowakanda
Ulitaka aende wapi wewe mbumbumbuhalafu akapelekwa tena Newcastle kwa mkopo! [emoji16]. Yaani kweli Hersi anadhihirisha wapo wawili, huku naye akiwa hayumo kati yao
kwenye mkutano wa uchaguziUlitaka aende wapi
Unaonaje kibanzi kwenye jicho la mwenzako wakati una boriti kwenye jicho lako/
Utaonaje kibanzi kwenye jicho la mwenzako wakati una boriti kwenye jicho lako?
Mbumbumbu kazi mnayo. Yeye ndio kaanza kunitumia hiyo picha mimi nikamrudishia hiyoUtaonaje kibanzi kwenye jicho la mwenzako wakati una boriti kwenye jicho lako?
Habari ndiyo hiyo!! Hakuna mahali Simba imefungwa 6-0 michuano yoyote ya CAF!!