Qzam
Member
- Mar 5, 2023
- 26
- 23
Habari jamvini. Nikikuambia Leo Fanya chaguzi ungechagua IPI? Una m2.5 unatakiwa uwekeze. Nunua voda umpe kijana akupe hesabu kila siku 10,000 bila kukosa kwa siku 365.
Njia ya pili uwekeze kwa MTU usiyemjua akupe asilimia 1 kila siku kwa siku 365.
Ungechagua nini, toa sababu ya jibu lako.
Nawasilisha.
Njia ya pili uwekeze kwa MTU usiyemjua akupe asilimia 1 kila siku kwa siku 365.
Ungechagua nini, toa sababu ya jibu lako.
Nawasilisha.