Huyo wa pili ,atashindwa kukulipa hela yako.1% ya 2.5 million, ni 25000 Kwa siku jambo ambalo ni ngumu sana.
Bora ungempa ukasema hata arudishe 5% Kwa mwez,Kwa mwaka faida yako 1,500,000 ,jumlisha mtaji wako 2,500,000 utakuwa na jumla ya 4 millions.
Na yeye angalau atakuwa kashajilipa kwenye huo mtaji wako,maana najua uhakika wa kupata faida 5% Kwa mwezi,ni uhakika kwa mtaji huo.(japo kuna miezi faida itakuwa kubwa zaidi na ndio yeye atajilipa hapo)
Hata mimi ukinipa masharti niliyoyasema ,Kwa mwaka nakurudisha pesa yako,na faida kila mwezi ya 5% nakupa.
Kwa usalama zaidi mpe wa boda boda.usiogope changamoto.