Hofu Kigamboni: Adaiwa kuua walinzi wawili na kujeruhi wengine kwa kuwagonga kwa Lori baada ya kushindwa kesi ya madai

Jom alibana Sana hela mtaani saivi kidogo hela Ipo bars zimeanza kufunguliwa.
Mama anatuponya. Niambie kipindi Cha jp bunduki zilisikika kweli.
Watu wamerudi kazini Kama kawaida. Uza silaha kodisha silaha kama kawaida. Watu wanakula dili wanavamia sehemu Cha kwao kipo afu wanachelewa kufikapo
 
Kimbia sana elekea baharini
 
26 August 2021

MAUAJI DAR ES SALAAM KIGAMBONI

Mkaazi wa Kariakoo jijini Dar es Salaam, Mohamed Jumaa anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji.. ya walinzi wawili..huku wengine watano wakijeruhiwa....


Source: Wasafi Media
 
Mmiliki alikopa pesa bank eneo limeuzwa kurejesha pesa alizokopa,kwa hasira kachukua roli lake kawakanyaga walinzi wawili lakini tayari yupo mikono salama.
Kufilisiwa sio mwisho wa maisha,hizi mali za kuingia mkataba na shetani ndivyo zinavyorudi kwa shetani huku roho yako nayo akiichukua.
Shetani hana huruma na mtu wala pesa yake haiendi bure at the end ni lzm achukue roho yako.
 
26 August 2021

MAUAJI DAR ES SALAAM KIGAMBONI

Mkaazi wa Kariakoo jijini Dar es Salaam, Mohamed Jumaa anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji..


Source: Wasafi Media
haha , jamaa alichofanya kakopi alichofanya 'anodi' kwenye terminator-01, this time ikiwa real hakuna editing
 
haha , jamaa alichofanya kakopi alichofanya 'anodi' kwenye terminator-01, this time ikiwa real hakuna editing

Khatari sana sheikh wangu, hizi movie na series zinaleta madhara sana katika jamii.
 
kwa nini wafuasi wa Mbowe wamefurahia sana kitendo kilicho fanywa na Hamza cha kuuwa Askari Polisi watatu ? na kuona kama kitendo hicho kilicho fanywa na Hamza dhidi ya Polisi ni cha kishujaa?!!!
Jeshi letu lazima litupie macho makali kwa hawa wahuni wachache.
 
Tukio lingine la kuawawa kwa walinzi wa2 wa kampuni ya fort wameuawawa kwa kugongwa na lori likiendeshwa na mwenye lori hilo kwa madai ya kushindwa kulipa deni la mkopo

taarifa zaidi mitandaoni

ila wadau mbna matukio yamezidi kuwa mengi
Tunaelekea wap Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…