EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 10,576
- 16,644
Pengine Hamza karudi tena ulimwenguni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
roli ndio nini?Mabaunsa wameshindwa kuzuia kichwa roli?Sasa wanafuga hivyo vifua vyao Nini? Vifua Kama matako ya mtoto vile.
Aina ya Bata vuzi mkuu.roli ndio nini?
Kimbia sana elekea bahariniHabari Wadau ,hivi Sasa nimepitia maeneo ya Kigamboni Tungi kwenye Round about kuelekea Darajani,Kibada na Feri kwa mbele kidogo Kuna Kituo Cha mafuta.
Nimekuta Kuna zogo kubwa la watu,kutahamaki ni milio ya Risasi na watu wanakimbia hovyo.
Sijajua chanzo rasmi ni Nini,japo wengi wanasema kile Kituo Cha mafuta kina mgogoro wa umiliki.
Nimeona mabaunsa zaidi ya 10 wakizunguka zunguka wengine wameshika mapanga na wengine wameshika Bunduki.
Taharuki ni kubwa na istoshe watu ni wengi kwakua Leo ni siku ya mnada wa wakazi wa kikagamboni eneo lile.
Pia Kuna taarifa zisizo rasmi kua Kuna watu wamekufa kwa kukaganyagwa na Roli liloingia kwa Kasi ndani ya sheli na kuondoka Kasi pasipo kujulikana ni Nani alikua analiendesha.
Baadae niliona polisi wanaingia kutuliza ghasia,Mimi kwa usalama wangu nikaamua kuondoka zangu.
Sijui Kuna Nini siku hizi,michezo ya Bunduki imeanza Tena
Update
Yeah nasikia mabati Yale yamewekwa alfajiri ya leo kuzunguka eneo lote,na nembo na jina la sheli zikazibwa na stika baadae wakawekwa mabaunsa kibao kulinda hapo.
Ndio mida ya jioni imekuja kichwa Cha Roli kikiwa Kasi kigaingia ndani kwa kugonga mabati Yale na kikakanyaga watu kadhaa na inasemekena wamekufa papo hapo, hofu ni kubwa Sana aiseh.
.View attachment 1909756View attachment 1909757View attachment 1909771View attachment 1909772
Ni kichwa cha roli tena na si Hamza?Kichwa Cha roli police walitakiwa wakidhibiti vipi?
26 August 2021
MAUAJI DAR ES SALAAM KIGAMBONI
Mkaazi wa Kariakoo jijini Dar es Salaam, Mohamed Jumaa anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji..
Source: Wasafi Media
[emoji2][emoji2][emoji2]kwelihaha , jamaa alichofanya kakopi alichofanya 'anodi' kwenye terminator-01, this time ikiwa real hakuna editing
haha , jamaa alichofanya kakopi alichofanya 'anodi' kwenye terminator-01, this time ikiwa real hakuna editing
Cha Ndonga mkuu.Ni kichwa cha roli tena na si Hamza?
Umeambiwa wauliwa kwa kutumia bunduki au unakurupuka?Polisi wameshindwa kazi sasa hivi bunduki ni kama nyanya kila mtu anamiliki
SawaCha Ndonga mkuu.
Wamefariki kwa kugongwa na loriKitambo watauza hizo mashine mitaani kama manati... Wanatuzoesha taratibu.... Kila mtu ajilinde. Nchi ya mama,watoto wa mama...
NimekurupukaUmeambiwa wauliwa kwa kutumia bunduki au unakurupuka?
3.5 milioni USD. Tulimtuma Mtu Tanzania kukinunua Kwa 3.0 milion USD akakataa dau.Kuna kipindi kilikuwa kinauzwa