Hofu Kigamboni: Adaiwa kuua walinzi wawili na kujeruhi wengine kwa kuwagonga kwa Lori baada ya kushindwa kesi ya madai

Hofu Kigamboni: Adaiwa kuua walinzi wawili na kujeruhi wengine kwa kuwagonga kwa Lori baada ya kushindwa kesi ya madai

Ila haya matukio sasa too much aisee.
Mbona watz wanafyatuka akili namna hii.

Sasa huyu mwamba wanunuzi wana kosa gani wakati ye bifu lake ni yeye na benki.
 
Wamefariki kwa kugongwa na lori

Lori latumika kama "silaha'' kushambulia watu katika eneo la Tungi Kigamboni jijini Dar es Salaam Tanzania na kupelekea walinzi 2 kupoteza maisha huku watu wengine watano kujeruhiwa.

Mtuhumiwa wa mauaji aliondoka na lori lenye trela kisha baadaye kurudi kwa kasi kubwa kugonga uzio ktk eneo hilo na kusababisha maafa hayo.
 
Lori latumika kama "silaha'' kushambulia watu katika eneo la Tungi Kigamboni jijini Dar es Salaam Tanzania na kupelekea walinzi 2 kupoteza maisha huku watu wengine watano kujeruhiwa.
Sheria ya USALAMANI inasemaje kuhusu gari kugonga Watu huko Tanzania
 
Tukio lingine la kuawawa kwa walinzi wa2 wa kampuni ya fort wameuawawa kwa kugongwa na lori likiendeshwa na mwenye lori hilo kwa madai ya kushindwa kulipa deni la mkopo

taarifa zaidi mitandaoni

ila wadau mbna matukio yamezidi kuwa mengi
Tunaelekea wap TanzaniaView attachment 1911092
Hii dunia haiwez kutulia mzee

Ova
 
Wanaume wa Dar acheni uoga bana 🤣
Haya fanyeni masihara. Wazee wa kazi Taliban wameishatua Uganda. Wanasaveisavei kuangalia mazingira mazuri ya kuanzia kazi!! Daladala itakuwa inasafiri tupu toka Mbagala mpaka Kariakoo. Mtaziogopa daladala kama ukoma!!
 
Mabaunsa wameshindwa kuzuia kichwa roli?Sasa wanafuga hivyo vifua vyao Nini? Vifua Kama matako ya mtoto vile.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanashindwa kukikamata kichwa kisichokua na trela
 
Back
Top Bottom