Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,107
Mkuu Huko ataenda nani.... Mahali unatumia siku tatu kwa basi.....hiyo ni kweli
ila usisahau na bukoba pia
niliona uzi kuwa na huko kwao kumefurikaMkuu Huko ataenda nani.... Mahali unatumia siku tatu kwa basi.....
hujui Christmas nini wewe unawaza starehe tu. kunywa mipombe na ngono zembe, hata hao wachaga wanaojua maana ya hii Siku hawafanyi kufuru.Salama wakuu,
Ni hofu yangu tu nipo njiani kurudi nikitokea mgombani... Nimekutana na washkaji kibao ambao sio wachaga lakini naona swaga la kwenda kwetu kila krismas limewabamba. Pamoja na hayo wapo Jamaa kibao ambao wameahidi kushiriki krismas ijayo mkoani kili mwakani, baada ya kuvutiwa na namna ambayo tunafanya yetu.
Inawezekana kabisaaaa miaka kadhaa ijayo, huu mkoa ukatangazwa sehemu maalumu ya kusherekea krismas.
Karibuni wakuu.... Huku kwetu hamuibi kitu ila mtatumia na kutuachia maendeleo yetu.
Ni hofu tu.
Mbona Sumatra hawajawapa daladalaniliona uzi kuwa na huko kwao kumefurika
Hold oooooon!!! Maana unaingilia mlango wa kutokea.... We huna kwenu.... Usotunyime kwenda kwetuhujui Christmas nini wewe unawaza starehe tu. kunywa mipombe na ngono zembe, hata hao wachaga wanaojua maana ya hii Siku hawafanyi kufuru.
Echungulia kwa jicho la kibiashara zaidi.... Inaeza ikaanza kama utamaduni ila badae ikawa kama utalii wa aina yake kukipatikana wapanga mipango wazuri ukizingatia kuna Kilimanjaro Mountain.....Ni wazo zuri sana likipata wabunifu na wakarembesha kidogo wazo lako linaweza kuvutia watu wengi wanaotafuta mahali pa kuspend during holidays haaswa Chrismass
wanapenda kujisifia sananiliona uzi kuwa na huko kwao kumefurika