Sawa hakuna police wa kushindana na ummaMimi Nina ndugu ndani ya jeshi la polisi. Wamo polisi mpaka wa nyota tatu.
Kuna hofu kubwa na wengi Wao wanaanza kuziondoa familia zao Dar.
Wengi wanaombea waandamanaji wawe wengi sana ili Polisi wasiweze kutumia ukatili na badala yake wakimbie kwa kuzidiwa.
Wanasema shida itakuwa waandamanaji wakiwa Wachache. Watalazimika kutumia ukatili mkubwa kama walivyoelekezwa na viongozi wa juu.
Kuna polisi wana wasiwasi wa nyumba zao kuchomwa moto. Hofu ni kubwa sana.
Wanasema hii ni mara ya kwanza wanaona maandamano yanaweza kufanikiwa. Hawajiamini wana uwezo wa kuyazuia raia wakiwa wengi.
Pia kuna polisi wengi wanaunga mkono maandamano. Ila hiyo ni kazi na hawawezi kukataa. Lakini wakipata mwanya wa kukimbia, watakimbia.
kuna polisi wameandaa nguo kabisa za kiraia kwa ajili ya kuvua uniforms na kuvaa hizo kujiokoa wakizidiwa. Hii yote ni dalili ya hofu kubwa.
Tension ni kubwa sana.
Mtaani kwetu kuna polisi mshkaji wetu, kasema polisi wengi wanaombea Samia aanguke kwani anazidi kuua vijana wasio na hatia.Mimi Nina ndugu ndani ya jeshi la polisi. Wamo polisi mpaka wa nyota tatu.
Kuna hofu kubwa na wengi Wao wanaanza kuziondoa familia zao Dar.
Wengi wanaombea waandamanaji wawe wengi sana ili Polisi wasiweze kutumia ukatili na badala yake wakimbie kwa kuzidiwa.
Wanasema shida itakuwa waandamanaji wakiwa Wachache. Watalazimika kutumia ukatili mkubwa kama walivyoelekezwa na viongozi wa juu.
Kuna polisi wana wasiwasi wa nyumba zao kuchomwa moto. Hofu ni kubwa sana.
Wanasema hii ni mara ya kwanza wanaona maandamano yanaweza kufanikiwa. Hawajiamini wana uwezo wa kuyazuia raia wakiwa wengi.
Pia kuna polisi wengi wanaunga mkono maandamano. Ila hiyo ni kazi na hawawezi kukataa. Lakini wakipata mwanya wa kukimbia, watakimbia.
kuna polisi wameandaa nguo kabisa za kiraia kwa ajili ya kuvua uniforms na kuvaa hizo kujiokoa wakizidiwa. Hii yote ni dalili ya hofu kubwa.
Tension ni kubwa sana.
Jengo la bunge panapofanyika uhuni na uchawa kwa serikali.Tunajipanga sanaa kuchoma moto mali za mafisadi.....wajiandaee....hakuna fisadi atabalia salama....!! Muda utaongeaa
Hivi end game yake ni niniπββοΈπββοΈπββοΈMtaani kwetu kuna polisi mshkaji wetu, kasema polisi wengi wanaombea Samia aanguke kwani anazidi kuua vijana wasio na hatia.
Ikulu inakuwapango la wahuni na wapiga deal.....nchi imefilisika kabisa....wqnqchezea pesa kila mkuu chombo cha ulinzi ana billions amew3kewa akae kimya nani kutukomboa kama Taifa? Wazee wa hovyo wamenunuliwa wote eti Wasira na butiku khaaa naumia sanaa....pesa kitu kibaya sanaa.....wamenunuliwa wote wamekuwa viziwi na vipofu...wako radhi wananchi wauawe ili mradi wao wana billions....Jengo la bunge panapofanyika uhuni na uchawa kwa serikali.
Mahakama panapofanyika uonevu badala ya haki.
Ikulu oanapotoka amri za kutunyanyasa badala ya kuongoza kwa haki.
Hofu yangu ni kuwa utekaji wa Polepole unaweza kufanya siri za mpango mzima kuvuja. Kulikuwa na uwezekano mkubwa wa ''end game'' kuwa karibu kabisa na Samia kufurumishwa ila baada ya Polepole kutekwa sijui kama kitu kitaenda kilivyopangwa. Hata hizi habari za kuwa kauawa, sidhani kama ni kweli japo zimeandikwa na gazeti linaloheshimika.. Kuna kitu....Hivi end game yake ni niniπββοΈπββοΈπββοΈ
Kwanini wakubali kutumika hivyo? Wanaotumika maisha yao ni magumu kama yetu, wanufaika ni wakubwa wao. Kwanini wanakubali kutumika??? Hawa watu wananishangaza sana. Au utaniambia wanafata kiapo?Mapolisi sio mafisadi, ni Watanzania wa hali ya chini kama Watanzania wengine. Wanatumiwa tu vibaya na CCM
Utachoma ukiwa Jf ?Tunajipanga sanaa kuchoma moto mali za mafisadi.....wajiandaee....hakuna fisadi atabalia salama....!! Muda utaongeaa
Sijui, labda wanalinda ugali wa familia zao. Ila nawasihi tu siku ya maandamano ni heri mapolisi waende kama ushahidi tu na kulinda wananchi wanaoandamana maana ndio kazi yao. Ila kamwe wasijaribu kuzuia maandamano maana wanajihatarishia usalama waoKwanini wakubali kutumika hivyo? Wanaotumika maisha yao ni magumu kama yetu, wanufaika ni wakubwa wao. Kwanini wanakubali kutumika??? Hawa watu wananishangaza sana. Au utaniambia wanafata kiapo?