Hofu kubwa ndani ya Jeshi la Polisi

Jidanganye.
 
kwa tafsiri nyingine unasema; CCM ikiwaondolea watanzania njaa, ikawapa good health care facilities..low cost of living watanzania wataandamana. namely watanzania uandamana wakiwa kwenye neema na sio kinyume chake.
 
Siku zote Jeshi lolote lile lenye nguvu duniani,huwa na nguvu muda wa Amani tu,amani ikivurugika hakun commandoo yeyote atakaejisifu kuwa yeye ni commando mwenye mafunzo ya hali ya juu, bali na ukomando wake anaweza akakimbia uwanja wa vita.
Hakuna polisi yeyote duniani waliowahi kushindana na nguvu ya umma na wakashinda, labda ndotoni tu.
KUna uwezekano mkubwa wa zaidi ya asilimia tisini kuwa watu wasiandamane,lakini haitokuwa ushindi kwa wa watawala, bali itakuwa ndio mwanzo wa ushindi kwa wananchi,kwani taratibu roho za watu zinazidi kubadilika,kutoka kuwa raia wa pole hadi raia ambao hawatamani kabisa kuiona serikali iliyopo madarakani.
Muda wa serikali kurudi upande wa Wananchi, la sivyo,siku zao,miezi yao na miaka ya kumaliza utawala ipo karibu mno kutimia
Wasipojirekebisha,watabaki kuwa historia ya moja ya chama kilichotawala kwa miaka mingi Afrika lakini kikadondoshwa na wananchi kwa Aibu kubwa.
Mitano Tena.
 
Tayari Polisi walishaanza kujitokeza behind the scene kupinga ujinga na upumbavu na unyama wa Samia Suluhu Hassan (Mzanzibari) dhidi ya Watanganyika...

Huyu hapa Polisi


View: https://youtu.be/t5r4KUXji_s?si=4Wlf6oXi-w6LMU8_
 
Write your reply...basi sawa hongera kwa kua na ndugu ndata
Kuna jamaa nilimsikia akisema wakodiwe mamluki wa kikongo na warundi na wanyamulenge mia 500 kuongezea nguvuuuuuuuu...ila machafuko tuyasilie tuu kwenye vyombo vya habari..
 
Sawaaa nini malengo ya kuandamana huko.?
 
Mmehama kutoka jw had polisi?
Propaganda za ki k sana!

Unajua kwa nn chadema mnayoamini kuwa ipo miyoni mwa watanzania inaendelea kupotea huku mkifarijiana? Ni kwa sababu ya u k kama huu wa propaganda za kutunga tunga..
Walikuwa wanatunga uongo uongo, walikuwa na idara ya matusi, kipo wapi?
Acha maisha ya ujima!

Ninachojua tarehe 29 oct kuna makundi mawili, la kwanza litaenda kutiki, la pili litakuwa linachoma ofisi za umma huku JF, TIKTOK, FB, INSTA, WHTSAP
 
Mm km mtanzania naomba sana watanzania wenzangu tusije kuharibu miundo mbinu yetu tuliyo ijenga kwa kodi zetu... Kitu cha msingi ni kuchoma nyumba za mafisadi mali zao zote haribu kabisa ila sio miundo mbinu yetu.
 
Mm km mtanzania naomba sana watanzania wenzangu tusije kuharibu miundo mbinu yetu tuliyo ijenga kwa kodi zetu... Kitu cha msingi ni kuchoma nyumba za mafisadi mali zao zote haribu kabisa ila sio miundo mbinu yetu.
Hata mali za hayati Leigwanan Lowassa pia zimo kwenye orodha au yeye tulishamsafisha?
 
Wataogopa sanaa
 
Mtaani kwetu kuna polisi mshkaji wetu, kasema polisi wengi wanaombea Samia aanguke kwani anazidi kuua vijana wasio na hatia.
Kuwa na ndugu / Rafiki nao naonaga ni mtiani mwingine , kuwa nao makini , kuwa na rafiki na askari magereza , au mwanajeshi angalau
 
serikali inakupa option mbili either ufe willingly ama Uuawe unwillingly.
hata usipotoka nje kupinga ujahili wao bado watakuja kukuchomoa chumbani kwako kukuua na Kuna chance kubwa mahiti yako isionekane..ni heri ufe willingly na mahiti yako ipatikane.
hawawezi ficha mahiti za waandamanaji.
 
Kuonyesha hisia zetu kuwa haya yanayoendelea nchini kwa sasa na haswa usalama wa raia ubinywaji wa Demokrasia kubambikia kesi wapinzani na kwasababu sisi CHADEMA hatuutambui huu uchaguzi.
Alafu jioni mnarudi majumbani mwenu kulala.hakuna kilichobadilika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…