Hofu kubwa ndani ya Jeshi la Polisi

Hata huyu amiri jeshi mkuu aliapa kuitumikia nchi kwa kufata katiba inavyosema, vp anaifata katiba inavyosema??? Kuapa sio ishu simamieni haki acheni mambo ya ajabu.
Tunachoongelea hapa ni Askari wa rank ndogo wewe unaleta mambo ya huyo chizi wenu

Hapa ni swala ni Askari kufata Amri, majeshi yoote duniani nidhamu huwa inapimwa kwenye utii maana yake jeshini utii ndo kila kitu, Askari mwenye utii ndo mwenye nidhamu na vyuoni huko hufundishwa utii kwa mkubwa wake sasa Askari anapewa kazi unahisi ataacha kuifanya?
 
Tunachoongelea hapa ni Askari wa rank ndogo wewe unaleta mambo ya huyo chizi wenu
Nazungumzia hao hao mkuu, huyu chizi wetu nimetoa mfano tuu kua unaweza kuapa na usifate kiapo, mkuu hawa wa rank ndogo ndio inabidi waachane na mambo ya viapo wasapoti raia basi.
 
Waambie hao ndugu zako wakwambie watapendele kuzikwa wapi? Endapo watatokea na magwanda yao barabarani mambo yasiwe mengi.
 
Jana peke yake kuna zaidi ya family za 10 za askari zimekimbilia Nairobi , Kuna dogo akataka kutupia copy ya nyaraka zao za safari nikamwambia ,No acha ,ishi kwenye misingi ya kazi yako .
 
Hata huyu amiri jeshi mkuu aliapa kuitumikia nchi kwa kufata katiba inavyosema, vp anaifata katiba inavyosema??? Kuapa sio ishu simamieni haki acheni mambo ya ajabu.
Yule jamaa wa JW si uliona alivyokuwa jirekodi akiongelea nchi inavyoenda na hakupendezwa achana na Capt. Tesha yule alishika chuma sasa yule na kuongea vile anaweza pewa kazi ya kupiga raia na wakubwa wake kicheo na hawezi kataa sababu ni nini ni UTII, usipotii mzee mhhh

Ndo maana Tanzania saa hivi POLISI wenye rank za chini wao wanataka waandamanaji wawe wengi siku hiyo ili wasifanye maujinga kama wakubwa wanavyotaka
 
Nazungumzia hao hao mkuu, huyu chizi wetu nimetoa mfano tuu kua unaweza kuapa na usifate kiapo, mkuu hawa wa rank ndogo ndio inabidi waachane na mambo ya viapo wasapoti raia basi.
Asilimia 80 ya Askari wadogo wanasapoti raia hao wakubwa ni uchu wa kutaka vyeo vya kijeshi yani wakifanya ujinga wanajua wataonekana
 
Si kila siku humu JF mnasema watz ni mbumbumbu kwa kuwa hawaungi mkono uzezeta wenu? Leo tena mnawategea hao hao ambao mnawaponda siku zote? 🤣
 
Mtuvunje miguu wakati mme acha nyumba zenu na tuna ishi na nyie 🤣🤣dadeki
 
Daah,
Hii inatisha aisee,
Mambo yamekuwa mengi mno saivi
 
Hiyo hofu ni ya huyo ndugu yako tu.
Ukiachana na hizi amsha amsha za mitandaoni, huku kitaa hamna dalili yoyote ya maandamano. Nilitegemea vijiweni kuwe na fukuto japo la kiwango cha maji ya kuoga, ila ni bariiidi....inatia wasiwasi kabisa. Ukianzisha hoja yoyote inayogusia maandamano watu wanakuangalia kwa hofu na wasiwasi wa wazi.

Sasa Kama Dar imepoa kiasi hiki, mikoani kukooje!?
Ninafikiri tuhamasishane kususia uchaguzi, hili la maandamano lina walakin.
 
Hiyo video niliiona mkuu, wanajeshi wanaonesha wapo pamoja na raia ila kwa hawa police sidhani kama wako pamoja na raia yani hawa jamaa sijui wamepewa nini wana chuki na raia na kupiga raia ni furaha yao naona.
 
Duuh,
Hii ukijumlisha na ile manual ya Lord Denning ni hatari na nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…