Hofu kubwa ndani ya Jeshi la Polisi

Jamani wengine wafungue chemba zao wachote mavi Kwa chepeo waweke kwenye mifuko hiyo ni Zaidi ya silaha
 
Hiyo video niliiona mkuu, wanajeshi wanaonesha wapo pamoja na raia ila kwa hawa police sidhani kama wako pamoja na raia yani hawa jamaa sijui wamepewa nini wana chuki na raia na kupiga raia ni furaha yao naona.
Hujui sababu upo mbali na circle ya polisi ila tafuta hata mmoja unaye mmudu halafu ongea nae atakuambia ukweli kuwa hawapendi basi tu wakubwa ndo wanalazimisha haya mambo, tafuta rank za chini ndo watakuambia ukweli
 
nakazia hapa. Japo sina uhakika sana kama wataaandamana hawa watz walio waoga!
 
Hujui sababu upo mbali na circle ya polisi ila tafuta hata mmoja unaye mmudu halafu ongea nae atakuambia ukweli kuwa hawapendi basi tu wakubwa ndo wanalazimisha haya mambo, tafuta rank za chini ndo watakuambia ukweli
Hatari sana.
 
You're firing to a wrong enemy...

Wewe ndiye hasa mjinga wa mwisho kwa sababu kila aliye kinyume na CCM na serikali yake unam - label kama CHADEMA...

Unagombana na wananchi & Watanzania wote kwa sbb ya ujinga wako..!!
 
We ndo takataka,
Umefanya utafiti gani kubainisha kwamba nagombana na "watanzania wote?"
Acha kutumia general fallacy hapa!

Hawa ma keyboard warriors na redbrigade wa mitandaon ndo watanzania na wananchi wote?

Kama si chadema, ni chama gani kinachopinga uchaguzi wa oct 29? Mbona vingne vitashriki?
Hakuna mpumbavu hapa!
 
Mnaikumbuka hii post? Siku nimeiandika ilikuwa baada tu ya kikao hicho.

Hii audio mpya imekuja kuthibitisha niliyoambiwa.

Huo mkutano ulifanyika mwanzoni mwa mwezi huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…