Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Wako vizuri hawa na ajira nje nje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dnata ni kampuni ya Dubai pia ambayo ndio wapo Airports 38 duniani na ina wafanyakazi 46,000 wapo hata hapa London na airport zote za uk
"wapo hata hapa London", mbona hapa ni Dar.
DNATA ni Dubai Nationa Aviation ni kampuni ya Ground handlingDNATA ni kina nani tena ? Elezea kwa kina
Hapo kwanza kulikua na hofu ya watu 600 kupoteza kazi katika kampuni mbili zinazotoa huduma za ground handling hapo znz Airpot kampuni ya ZAT na TRANSWOLD ujio wa hao DNATA kampuni zote mbili hizo tayari zimeshapunguza wafanyakaziHapo kuna issue mbili kubwa
Moja: Je ni kweli kuna uhitaji wa wafanyakazi 600 ? Wana Tija ?
Mbili: Kuna umuhimu wa kila kitu kuwapa wageni ?
Hitimisho: Hao wenyeji wafanye ila wafanye kwa tija na mojawapo ya Tija huenda ikawa ni kupunguza wafanyakazi
Unajua kuna Jambo moja wengi hatujaelewa...; Dunia ya sasa ya automation haiitaji nguvu kazi kwahio watu wataendelea kupoteza kazi kwa kasi sana....Hapo kwanza kulikua na hofu ya watu 600 kupoteza kazi katika kampuni mbili zinazotoa huduma za ground handling hapo znz Airpot kampuni ya ZAT na TRANSWOLD ujio wa hao DNATA kampuni zote mbili hizo tayari zimeshapunguza wafanyakazi
Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
Wamekuja kuuza bandari !!Kujeni huku Bara mle maisha, nchi iliyojaa Maziwa na Asali. Sisi ni wakarimu sana, japo mwatuita Machogo na Makafir.