Hofu ya Corona: Rais Magufuli asitisha mbio za Mwenge 2020. Fedha kupelekwa ktk maandalizi ya kupambana na Corona

Brother you are lost.. Nadhani unafikiri mimi ni mvulana... I may be older than you. Just one day try to meet me.. Am free
Jr[emoji769]
 
Hebu linganisha reply yangu na yako.. Halafu uone uhalisia wa kile nilichoandika na uzushi uliotunga
Kwa hiyo unaamini kwamba ccm hatuibi kura bali ni mwenge ndio unatusaidia!
Nyie watu hata hamjui mnachokutaka,ndio maana ccm itatawala milele

Jr[emoji769]
 
Brother you are lost.. Nadhani unafikiri mimi ni mvulana... I may be older than you. Just one day try to meet me.. Am free

Jr[emoji769]
Mkuu you are being naive.
Misingi ya nchi hii ni umoja wake na si ushirikina.
Miaka ya mwanzoni wa 1970s, Mwalimu is on record akisema yule bingwa wa ushirikina basi amloge kaburu ili tusiteseke na vita vya ukombozi.
No body took up the challenge.
 
Mkuu you are being naive.
Misingi ya nchi hii ni umoja wake na si ushirikina.
Miaka ya mwanzoni wa 1970s, Mwalimu is on record akisema yule bingwa wa ushirikina basi amloge kaburu ili tusiteseke na vita vya ukombozi.
No body took up the challenge.
Uchawi una formula zake.. Uchawi hauamrishwi hata Kambarage mwenyewe aliongea kisiasa tuu..

Jr[emoji769]
 
Sio imani ni uhalisia.. Hata watokee watu wapinge kwa nguvu zote kuwa hakuna uchawi.. Mapingamizi yao hayo hayawezi kuzuia uhalisia wa uwepo wake

Jr[emoji769]
Mkuu you are going wide.
Mimi ninacho argue ni kwamba bado naamini Mwalimu was smart katika kuwaunganisha waTanzania kwa kuweza kuwaelewa waswahili wa Pwani na imani zao, watu wa milimani huko na wote wanaoamini mizimu yao.
Na hili halikuhitaji kuamini kwamba eti lilihitaji juju au ushirikina wa aina fulani.

Mbona mwenge wa Olympic umeanza kubebwa n kukimbizwa toka 1928, hata kabla ya mwenge wetu wa Uhuru.
Mwenge mahali popote unatumika kuwaunganisha watu ili wajione wamoja.
 
Ok ok sawa nadhani haya ni malumbano ya hoja.. Hakuna ubaya kila mmoja wetu kuandika mawazo yake bila kujali usahihi na uhalisia wake
Jr[emoji769]
 
Kama unafikiri kutokukimbizwa kwa Mwenge wa Uhuru mwaka huu wa uchaguzi ndio CCM itashindwa, subirini muone.
 
Hakuna kitu kama hicho cha zindiko. Amekufa Forojo, Shekhe Yahya na nchi bado inasonga mbele.
Mimi siamini kabisa katika mazindiko na kusema kweli hayana nafasi kwenye ulimwengu wa leo. Sisi waafrika kama hayo yangekuwa msaada, tungetetemesha dunia. Look at us! Choka mbaya na bado tunajitutumua na mambo ya kishetani
 
Kwani mataifa mengine nayo yana mwenge wa uhuru unaokimbizwa huku na huko, au sisi peke yetu ndo tulipata mzuka
 
Pia inawezekani, ikawa ni njia bora ya kuthibitishia umma wa watanzania wanao amini kuwa ni zindiko kuwa siyo zindiko,Ikiwa hakutakuwa na lolote wala chochote kitachotokea..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…