Hofu ya Kenya katika akili za Tanzania

Mosi, sisi corona tumeishinda vibaya, siyo tishio kabisa.

Pili, nchi zote zenye lockdown ndizo zimetapakaa vifo na wagonjwa wanaongezeka kwa kasi wakati sisi maisha yanaendelea as usual. Nchi nyingi zilizokuwa na lockdown tayari zimeachia. Jibu hiyo hoja ya kufunga mipaka ya nchi mkiwa na active cases 7 lkn mnafungua nchi mkiwa na active cases 10,000. Hiyo ni akili au matope?

Tatu, chumbani kwako huingii kwa kuomba ruhusa, unaamua kuingia tu bila kubisha hodi. Kenya ni chumbani kwa mtanzania, hatusubiri muruhusu ili tuingie, sisi tunazo mbinu nyingi za kuingia bila ridhaa yenu, tumethibitisha mara kadhaa hilo.

Umewahi kufikiria siku sisi tukipiga ban ya nyie kuingia nchini kwetu? Mtalia na kusaga meno

Nipo hospital ya wilaya moja hapa, chumba cha kulaza wagonjwa sita by social distance, kina wagonjwa watatu kesi za malaria.

Tanzania ni salama, and we mean it
 
Haha!🤣🤣 You don’t believe that what you are seeing is the fact instead you are using force to deny the truth. We call it in psychoanalytic theory, a "defense/mental mechanism". I know sometimes it better to make use of it because it reduces anxiety arising from unacceptable or potentially harmful stimuli. Denial is the refusal to accept reality or fact, acting as if a painful event, thought or feeling did not exist

And the map you post all the time shows that you are not only using the denial type but also a 'Sublimation' type, which is considered a positive strategy (anger management exercises to help you stay calm) to redirect strong emotions or feelings into an object or activity that is appropriate and safe...
 
Ugonjwa haufichiki
Kungekua na Corona Tanzania,saa hizi maiti zipo barabarani
A ngalia mazishi ya mkapa,angalia fainali ya FA,hatuna barakoa Wala social distancing, tumeishinda Corona, tumeshasahau Mambo ya corona
FA kama yote.

Hivi wa Nyang'au walitoa ushindi wa mezani enhee? Hakuna ligi walifanikiwa kuimaliza. Si ndiyo?

 
Nyie mlio imara kwenye Corona mpo wapi?hayo maigizo ya lockdown yamepunguza au kuongeza idadi ya wagonjwa? pathetic!
 
ntamaholo,

Tafadhali tafsri hii kitu ili waisome vizuri. Najua Wakenya ni wasomaji wazuri ila kwa kiswahili anaweza akasoma page 1 kwa nusu saa[emoji28][emoji28][emoji28] anaejitahidi humu kwa Kiswahili ni MK254
 
Kuwa namba moja kwa muda inawezekana ila milele haiwezekani. Tz haijalala, endeleeni ku undestimate
80s na 90s Tz iliongoza kiuchumi Afrika mashariki. Huu ni muda wa Kenya to shine.
 
Kenya iliisha ushawishi Mara tu ile COW (coalition of the willing) Ilipo anguka. Sarakasi unazoziona sasa ni vilio tu vya maumivu.

Ila naye jiwe hana huruma, anatia chumvi kwa kidonda.
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nauli ipo wapi Mkuu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Kaka umeiva uko vizuri Safi sana kiongozi, mbwa wa kikenya hawaelewi kama tz inavichwa na tz inawajua hao mbwa vizuri. Hawa mbwa hadi chuo niliwachakaza na nikawaita mbwa tu maana niliwadhibiti semester zote. Wale mbwa hata wakipita humu wataelewa. Kaka umetisha sana literature iko vizuri, explanatory aspect super kbsa, discussion iko jointed sana, I see Professor Haroub Othman in you. Mungu ampumzishe kwa amani. It was awesome and satisfying reading this piece of work
 
Ha ha ha Nairobi University. Ni mtanzania wa kawaida tu, yupo mtaani anasoma na kuchambua vitu kisomi
Hio si ukweli. Huyo lazima awe mhadhiri katika chuo kikuu huko TZ. Mtu wa kawaida hawezi kunukuu vitabu na nakala zilizoandikwa na wataalamu kama yeye sio mtaalamu.
 
Hio si ukweli. Huyo lazima awe mhadhiri katika chuo kikuu huko TZ. Mtu wa kawaida hawezi kunukuu vitabu na nakala zilizoandikwa na wataalamu kama yeye sio mtaalamu.
Umekariri sasa.

Yaani mmemeza mambo ya ajabu sana kuihusu tz
 

Leo nimekuta umeniquote mara nyingi umeamka kwa mzuka, are you using words simply because you came across them or you're just trying to remain relevant. How am I on denial, corona is a scientific problem and every nation is dealing with it scientifically, you're the only country in the world that has chosen the path of apathy, completely doing nothing and expending too much energy crying wolf when anyone calls you out.
 
Nimeuelewa huu uzi hadi nafurahi.

Dadeek Wakenya wafyate mikia tu, ubabe na roho mbaya zao haziwasaidii. Wangeishi na Sisi Watz vizuri wangefaidi sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…