MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
MK 254 UMEANDIKA UONGO MTUPU.
Ulichoandika hapo ni uongo mtupu bro.
Mimi ni shahidi kuhusu hili na nadhani wapo wengine wanakushangaa kwa kutunga uongo kisha unauandika kwa wino mzito.
Nimesafiri kama wiki tatu zilizopita kuja nchi za magharibi. Nimeshuka kiwanja kimoja kwaajili ya connection. Walikuwepo na watanzania kadhaa ambao pia walikuwa wanaconnect kwenda nchi zingine.
Hakuna mtanzania yeyote anayeogopwa wala kutengwa kwaajili ya uchunguzi wa ziada. Tena habari za Tanzania kuwa haina corona zimesikika sehem nyingi duniani.
Watu wana hamu ya kufika Tanzania kujionea hali ilivyo, watu wanatamani kuwaona watanzania ambao wanatoka nchi isiyo na corona.
Duniani huku Tanzania ni washindi. Tunapata heshima kwa kuwa na uwezo wa kujitegeme kusolve matatizo yetu.
Nyie wakenya bado mnastruggle kupata uhuru kutoka kwa wazungu ndio maana hamuwezi kuwa na njia zenu isipokuwa kuabudu wasemayo watu wa magharibi.
ACHA KUTUNGA UONGO.
Wewe ndiye unakua muongo maana hizi taarifa ziko kwenye websites za wahusika, mimi nimezileta tu, hebu itafute Tanzania kwenye hii link Coronavirus: Countries that need two COVID-19 PCR tests to travel to Dubai list