Hofu ya Kenya katika akili za Tanzania

When you start defending yourself, for sure you're accusing yourself.

Yani aya hizo zote ni katika harakati ya kuproof Kenya imefeli? Hilo lingekuwa wazi iwapo ingekuwa ukweli. Hungehitaji kusimulia mpaka kuweka matheory
 
Kuna wachezaji wenu Kahata na Shikalo waulize tangia wamekuja wamesikia mtu anaumwa Corona.
 
Tanzania hatuna Corona.
Tuli idhibiti kwa mbinu zetu wenyewe na sio kusubiri kuamrishwa na Wazungu.

1. Tulitangaza wiki moja ya kumwomba Mungu atuepushe na hili janga.
2. Ilipoisha tulitangaza wiki moja ya kujikinga kwa kujifukiza.
Hapo watu walijenga mitambo ya kujifukiza, watu wakaloa jasho chapachapa, watoto walitumbukizwa kwenye masufulia na majungu yenye joto.
3. Tukapiga Mbiu ya kuongeza Kinga Mwilini kwa kunywa.
+Chai ya Tangawizi
+Juisi za Limao na ndimu
+Kachumbali ya vitunguu maji, na vitunguu swaumu na tangawizi.
+Ikaja kampeni ya kuhakikisha mtu anakula na kushiba chakula cha asili tu, kama mbogamboga, caroti, matunda kwa wingi nk.

Hizo ni baadhi ya Juhudi ambazo sisi Watanzania tulizichukua kwa bidii yote huku tukiungwa mkono na kiongozi Jemedali Mkuu Raisi John Pombe Magufuli. Kwa mwongozo wa Wataalamu wa Afya.

Ni hivyo tu basi ndugu zetu wa Kenya.
Na tukafanikiwa kuitokomeza Corona na nina Uhakika tulipomtanguliza Mungu tukaoneshwa Njia stahiki.

Mnaweza kuiga hizo mbinu mkipenda ila hakikisheni mna chakula cha Kutosha. Hizo Limao tu sehemu nyingine ziliuzwa hadi shilingi 1000/= Limao moja, maeneo kama hapa Arusha Mjini.
 
hizo ni minerals zenu, hata mkitupita litakuwa jambo la kukubalika.. lakini kwa sasa ni aibu kwenu
Mpo kwa ubepari navuchumi wa soko huru tokea mpate Uhuru hadi Leo mlicho ambulia ni kumiliki madampo ya slum!!!! Sisi tumeingia kwa uchumi wa soko huru miaka ya 95 tu ona vyenye tunasonga mbele kuliko nchi zote zilizo kuwa za kibepari toka uhuru
 
Mpo kwa ubepari navuchumi wa soko huru tokea mpate Uhuru hadi Leo mlicho ambulia ni kumiliki madampo ya slum!!!! Sisi tumeingia kwa uchumi wa soko huru miaka ya 95 tu ona vyenye tunasonga mbele kuliko nchi zote zilizo kuwa za kibepari toka uhuru
Kwa africa
 
Malizia ..... Kisha tukafunga kazi kwa kutangaza na kusherehekea corona festival hakina MK254 na Tony254 mkatucheka sana na kutuona wajinga ,Leo kiranga kimewaisha mmekunja mikia
 
Malizia ..... Kisha tukafunga kazi kwa kutangaza na kusherehekea corona festival hakina MK254 na Tony254 mkatucheka sana na kutuona wajinga ,Leo kiranga kimewaisha mmekunja mikia
Ha...ha...haaa, umetisha sana.
Tukahitimisha kwa kufanya tamasha la kuiaga Corona. Watu nyomi bila vitamba puani.

Ni Tanzania, Nchi pekee duniani iliyo tenga wiki moja kumwomba Mungu Kitaifa.
Na akajibu maombi yetu.
Wengine wakatuona kama wajinga fulani hivi.

Leo watoto wa chekechea wanaenda shule bila hofu bila barakoa.
Leo Barozi wa Marekani anatembea na kukusanyika bila Barakoa.
Leo Watalii wakishuka ktk Ndege, na kukanyaga ardhi ya Tanzania wanavua Barakoa na kula hewa safi kabisa.

Huu Ni Muujiza.

Jamani Mungu Yupo na anajibu maombi.
Mungu alipenda tulivyo Mheshimu na Kumtegemea, Kwanza YEYE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…