Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kama maarabu.Mkuu karibu kila jamii imepitia utumwa, si kwamba walikuwa wanaogopa kifo. Unakutana na adui mwenye nguvu nyingi kiasi kwamba hakuna matumaini yoyote hata ukipigana. Kuna watu makatili, wataua wanaume wote na kubeba wanawake na watoto utumwani.
Lakini Afrika Kuna nchini inaitwa Ethiopia, unadhani hao makatili wauaji hawakupita kwenye nchi hiyo!?Mkuu karibu kila jamii imepitia utumwa, si kwamba walikuwa wanaogopa kifo. Unakutana na adui mwenye nguvu nyingi kiasi kwamba hakuna matumaini yoyote hata ukipigana. Kuna watu makatili, wataua wanaume wote na kubeba wanawake na watoto utumwani.
Mababu zetu walizidiwa kwasababu hawakuwa na silaha bora mikuki mapanga na mishale haikufua dafu kwenye Bunduki na mabomu.Mababu zetu waliingizwa utumwani kwa kuwa waliwaza wakipingana na waarabu/wazungu basi wao watauawa. Matokeo yake walifanywa watumwa kwa hofu ya kuuawa.
Wenzao wana bunduki wao wanakuja na uchawi wa maji' kwamba ikipigwa risasi itageuka maji.Mababu zetu walizidiwa kwasababu hawakuwa na silaha bora mikuki mapanga na mishale haikufua dafu kwenye Bunduki na mabomu.
Maarabu ndio watu gani hao!?Kama maarabu.
Bado maelezo mengi ya usaliti yalitokana na hofu ya kuuawa. Ethiopia walikataa kutawaliwa na waitaliano na waliweza.Mababu zetu walizidiwa kwasababu hawakuwa na silaha bora mikuki mapanga na mishale haikufua dafu kwenye Bunduki na mabomu.
Waethiopia walisaidiwa na Mwingereza baada ya Mtaliani kulishinda Jeshi la Mfalume wa Ethiopia na kuitawala Ethiopia kwa kipindi kifupi, Kenya MAU MAU walipigana kwa miaka kadhaa dhidi ya Mwingereza, Wasomali walipigana kwa miaka 20 ishirini dhidi ya Wakoloni wa Mwingereza Mtaliani na Mfaransa.Bado maelezo mengi ya usaliti yalitokana na hofu ya kuuawa. Ethiopia walikataa kutawaliwa na waitaliano na waliweza.
Leo Afrika imekuwa omba omba kwa kuwa wananchi wanashindwa kupambana na viongozi wahalifu, mafisadi, walafi na wabinafsi kwa kuwa Wana hofu ya kuuawa.
Ulaya iliendelea pale watu wake walipoachana na hofu ya kufa.
Afrika tunawaza Sana kufa badala ya kuwaza kuishi vizuri kabla ya kufa!Kila mtu anaogopa kifo
Na kufa kukawa palepaleMatokeo yake walifanywa watumwa kwa hofu ya kuuawa.
Yeah sureAfrika tunawaza Sana kufa badala ya kuwaza kuishi vizuri kabla ya kufa!
Hakika mkuu hiyo ni Mindset mbaya sana inaweza kukufanya usifanye maendeleo ukakaa unawaza sasa kesho nikifa inakuwaje acha nisifanye tu.Afrika tunawaza Sana kufa badala ya kuwaza kuishi vizuri kabla ya kufa!
Hakika mkuuMababu zetu walizidiwa kwasababu hawakuwa na silaha bora mikuki mapanga na mishale haikufua dafu kwenye Bunduki na mabomu.
Na huu ndiyo mtego uliotunasa na kututofautisha sisi na wengine. Mtu anastaafu anapata milioni mia. Ukimwambia awekeze kwenye Kilimo Cha miti anakwambia "Leo Nina miaka 60 hadi miti ifike muda wa kuvunwa nitakuwepo"?Hakika mkuu hiyo ni Mindset mbaya sana inaweza kukufanya usifanye maendeleo ukakaa unawaza sasa kesho nikifa inakuwaje acha nisifanye tu.
Suala la waafrika kutokuwa na umoja halikuanza Leo.Mkuu karibu kila jamii imepitia utumwa, si kwamba walikuwa wanaogopa kifo. Unakutana na adui mwenye nguvu nyingi kiasi kwamba hakuna matumaini yoyote hata ukipigana. Kuna watu makatili, wataua wanaume wote na kubeba wanawake na watoto utumwani.