macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Uko sahihi. Kama Tanzania ndiyo kabisaa.Nimewaza tangu enzi za utumwa mpaka Sasa, katika vitu waafrika wanaogopa Sana ni kifo.
Ukichunguza kwa makini waafrika tunawaza zaidi kufa na baada ya kifo kuliko kuishi kabla ya kifo.
Tunawaza tukifa kitatokea nini badala ya kuwaza tunavyoishi kabla ya kufa maisha yetu yana thamani ipi!
Mababu zetu waliingizwa utumwani kwa kuwa waliwaza wakipingana na waarabu/wazungu basi wao watauawa. Matokeo yake walifanywa watumwa kwa hofu ya kuuawa.
Fikiria Mwarabu/mzungu mmoja aliwezaje kuwafanya mamia ya waafrika watumwa? Hofu ya kifo.
Watu kama Mkwawa au Kinjekitile na wengineo waliishia kufa na bila ya kuheshimiwa na watu wao lakini kina mangungo wa msowero waliishi kwa amani lakini wakiwa utumwani!
Hata Leo Afrika vita zote zilizopo zinatokana na harakati za baadhi ya watu kuogopa kufa na siyo kupigania thamani ya maisha yao wanayoishi kwa Sasa.
kwa ivo hofu ya kifo ndiyo inayozuia waafrika kuwaza jambo jingine lolote lile zaidi ya kusubiri kufa.
Hapo tunafeli sana, ni heri ufanye tu hata ukifa utaacha faida kwa utaowaacha.Na huu ndiyo mtego uliotunasa na kututofautisha sisi na wengine. Mtu anastaafu anapata milioni mia. Ukimwambia awekeze kwenye Kilimo Cha miti anakwambia "Leo Nina miaka 60 hadi miti ifike muda wa kuvunwa nitakuwepo"?
Lakini mtu huyo ana watoto na wajukuu. Leo hii walioanzisha kampuni ya Pepsi au coca-cola wapo? Lakini vizazi vyao vinakula matunda ya uwekezaji wa Babu zao.
Maisha magumu, ajira hakuna ndiyo maana vijana tunakata tamaaAfrika imejaa mipango ya muda mfupi na wa Kati, watu hawataki mipango ya muda mrefu. Kila mtu ana hofu kuwa akipanga mipango ya miaka 30 ijanyo hawezi kuwepo kwa kuwa atakuwa amekufa.
Halafu kinachoshangaza wengi wao kwa siku za hivi karibuni wenye hofu ya kufa, ni vijana!
Huwezi kuwa na mawazo ya kufanya kitu endelevu kama unaogopa kifo. Ndiyo maana tunasema tunazaa watoto wengi ili wengine wakifa wengine wabaki.Hapo tunafeli sana, ni heri ufanye tu hata ukifa utaacha faida kwa utaowaacha.
Hii ni mbaya sana aisee tunaweza kuepuka kweliHuwezi kuwa na mawazo ya kufanya kitu endelevu kama unaogopa kifo. Ndiyo maana tunasema tunanzaa watoto wengi ili wengine wakifa wengine wabaki.
Yaani mtu anapata mtoto badala ya kuwaza kuwa ataishi yeye anawaza kuwa atakufa.
Mkuu kweli hili ni tatizo kubwa sana kwetu. Ni wachache wanaona mbali. Na kadiri miaka inavyosonga ndo watu wenye mipango ya muda mrefu wanavyopungua. Kwa mfano usishangae stendi ya mabilioni pale Mbezi miaka 20 ijayo ikavunjwa na kuhamishiwa tena kwingine kama ilivyokuwa Ubungo.Afrika imejaa mipango ya muda mfupi na wa Kati, watu hawataki mipango ya muda mrefu. Kila mtu ana hofu kuwa akipanga mipango ya miaka 30 ijanyo hawezi kuwepo kwa kuwa atakuwa amekufa.
Halafu kinachoshangaza wengi wao kwa siku za hivi karibuni wenye hofu ya kufa, ni vijana!
Wakati kipo na ni lazima kitatokea!Kifo kinaonekana kama kitu kisichofaa kujadiliwa.
Tunayaona maarabu hapo Gaza yakiua kila kitu kuanzia majengo mpaka waliomo na vilivyomo ndani ya majengo sio wanamke sio wanaume sio wazee wala sio vichanga haya maarabu hayachagui wala hayabagui.Kama maarabu.
Pamoja na kuipindisha mada lakini hiyo vita ya Waisraeli na Hamas Ina jambo la sisi waafrika kujifunza.Tunayaona maarabu hapo Gaza yakiua yakiua kila kitu kuanzia majengo mpaka waliomo na vilivyomo ndani ya majengo sio mwanamke sio mwanaume sio wazee wala sio vichanga haya maarqbu hayachagui wala hayabugui.
Nayakubali kweli haya maarabu yanayoua hapo Gaza kama Mungu wetu alivyo agiza tuendelee kuyaombea na kuya bariki haya maarabu hapo Gaza kama Mungu wetu ili yaue kila takataka hapo Gaza maana hazina thamani mbele za Mungu.
Na sote tuseme jina la bwana aliyejuu muumba wa mbingu na nchi ahimidiwe Ameeen
Ndio wenye huo utamaduni mnaodanganywa kwamba ni dini.Maarabu ndio watu gani hao!?