granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
kwa kimombo wanaitwa bed bugs mkuu siyo bud bed.Duh! Saa saba usiku, aljazeera wanaripoti habari za kunguni huko ufaransa. Kumbe ni habari kubwa mpaka imeripotiwa na mashirika makubwa ya habari duniani. Kunguni wanaitwa bud bed
ni sawa mkuu, nilipishanisha sentensi, ile nataka kurekebisha tu naona notificatio toka kwako huku aljazeera nao wakirudia taarifa hiyo kwa kutaja bed bugskwa kimombo wanaitwa bed bugs mkuu siyo bud bed.
Wazungunnisio wapenda duniani wanapatikana Ufaransa...sema ni vile wananizidi vitu vingi vinavyo define quality living standardView attachment 2771374
Wananchi wa Ufaransa pamoja na watalii wanaoitembelea nchi hiyo wanaugulia maumivu baada ya kungátwa na kunguni ambao wamesambaa katika maeneo mengi hasa ya umma.
Kufuatia kuwepo kwa picha mbalimbali za video mitandaoni zikionesha kuwepo kwa wadudu hao hasa katika jiji la Paris kwenye treni za mwendokasi, hospitali, nyumba za sinema na uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Charles-de-Gaulle, Serikali ya Ufaransa imesema inaelekeza juhudi zake katika kupambana na kunguni hao.
"Jimbo linahitaji haraka kuweka mpango wa utekelezaji dhidi ya janga hili wakati Ufaransa inajiandaa kuwa mwenyeji wa michezo ya Olimpiki na Paralympic 2024," ameandika Naibu Meya wa Paris, Emmanuel Gregoire katika barua yake kwa Waziri Mkuu Elisabeth Borne.
eh! kumbe aljazeera ndo wamekutoa tongotongo, ulikuwa hujui kuwa kunguni kwa kimombo wanaitwa bed bugs?ni sawa mkuu, nilipishanisha sentensi, ile nataka kurekebisha tu naona notificatio toka kwako huku aljazeera nao wakirudia taarifa hiyo kwa kutaja bed bugs
Na ndo wamezipeleka huko toka Afrika, kama sio wa kongo, basi itakuwa watu toka west AfrikaBasi waafrika/watu weusi wanaoishi France watahusishwa!
Ila kuwaondoa huwa ni kazi rahisi , usiwe mvivu wa kuwaua, maji ya moto yanatosha.Hao wadudu siji kuwasahau
najua mkuu, ni typing erra tu, kwa sie tunaeandika maneno mengi kukosea sentensi ni kawaida no matter ni lugha gani tunatumia, ndio maana kuna ma editor katika news room. Nina hoja nyingi za kujitetea katika uandishi wangu ninapokosea huwa si makusudi, kuna over look piaeh! kumbe aljazeera ndo wamekutoa tongotongo, ulikuwa hujui kuwa kunguni kwa kimombo wanaitwa bed bugs?
Hao tuwaite kunguni wa kimataifaMkumbuke wapo chawa wa kwenye magogo, wood lice, wao hawaishi kwa kunyonya damu za kiumbe hai, wao wana namna yao kula. Huenda kuna kunguni wasiotegemea kunyonya damu wakawa wapo kwenye mimea tu kama kimatiro na mbu wasionyonya damu wananyonya maua tu.
sasa kama nawajua wood lice nashindwaje kuwajua bed bugs? Kama kuna wood lice na leaf buds wapo ujue. Unashangaa nini mi kuchanganya madesa wakati ni kawaida?eh! kumbe aljazeera ndo wamekutoa tongotongo, ulikuwa hujui kuwa kunguni kwa kimombo wanaitwa bed bugs?
sawa mkuusasa kama nawajua wood lice nashindwaje kuwajua bed bugs? Kama kuna wood lice na leaf buds wapo ujue. Unashangaa nini mi kuchanganya madesa wakati ni kawaida?
Hii mpya hii kwa hio kunguni huwafanya nini mende? Maana Mimi mende ndio siwapendi kuliko kunguni sababu wananuka japokua kunguni wananuka Ila mende wananuka zaidiKiboko yao wavamiwe na kundi kubwa la mende hakuna rangi wataacha kuona. Mende nao wana kero ila kwa kuwakomesha kunguni mende utawapenda
Kitanda Cha mbao used ndio kiliniingizia kunguni jamaa walijificha kwenye tendegu mule kwenye kona za kitanda unapokichomeka kwa ndani nilikuja kushtuka baadae wakitoka mule wanaanza kutaga kwenye godoro kunguni wanapenda Giza hawapendi mwanga kukiwa na Giza na kajotojoto ndio wana-enjoy na wakitaga kwenye godoro km lina cover basi wanaingia' ndani ya cover mule ndio wanaenda kuishi humo unalilalia cover kumbe ndani umewalalia kunguni usiku wanatoka wanaanza kukutafuta na kukutafuna wanazaliana kwenye godoro na yale mayai yao yanaliharibu godoro linapatwa na ukungu ukija kushtuka unaweza ukalichemsha godoro kunguni hawafani Ila niliwakomesha hawakurudi tena kwanza walikimbia nyumba wenyewe mwanga mwanga mwanga usafi usafi usafi usafi kunguni hakai eneo hilo lazima akimbie japokua wanasema kunguni anaweza akakaa hata mwaka bila kula bila kutagaNiliwahi kulala ugenini nikashindwa kutambua ni upi muwasho wa kung'atwa kati ya kunguni na mbu. Nilishambuliwa na wadudu wote wawili kunguni na mbu usiku kucha. Kitanda hakikuwa na net walau mbu wasining'ate. Haikuishia hapo tu chawa na viroboto nao walinishambulia. Mara homa hiyo, kupimwa maralia ipo
Sema Ulaya yote kipindi cha joto wana tatizo hilo na wengi huwa hawapangi kwenye basement kwa sababu ya hao Kunguni...Ni wakati wa vyenye nguvu kuaibishwa
Watu wa afya walitudanganya sana kwa hiyo wahuni bado wanaamini kunguni anakaa sehemu chafu tu yeye popote kambi ili mradi apate password ya kuingia tuu...Kunguni hakai sehemu chafu tu
We humjui huyo mdudu akiingia ameingia.
Hata ikulu anaishi na anatamba vizuri