Hofu ya kunguni Ufaransa

Hofu ya kunguni Ufaransa

94e00aa1ea474f3fba52a052974f8a23.jpg
 
Sina imani na wageni wangu wanaokuja na kulala naona kama wana wadudu wasumbufu, chawa/kunguni. Masela wanaokuja chumbani kwangu na kukalia kitanda nimewaandikia bango usilete kunguni na chawa. Bora upambane na umbu kwa net, kunguni hata uweke net utawaona pakipambazuka wanatambalia net kwenda kupana juu ya net, ukiwaacha wataongezeka na utaibika kwa kuishi na wadudu hao wenye kukupa sifa ya uchafu. Kiboko yao ilikuwa dawa ya ngao, iliwateketeza sambamba na mbu pamoja na wadudu wengine watakaogusana na net, we mwenye ukigusana na ngao utahisi mwili unawaka moto, uko karibu na jiko
hongera kwa kupromote biashara zetu (NDUGU WATEJA BADO HUDUMA ZETU ZINAPATIKANA KWENYE MADUKA YOTE YA OTC HAPA NCHINI KARIBUN ..NAKUSHAURI TUMIA NGAO KWA ULINZI MZUR WEWE NA FAMILIA YKO
 
hongera kwa kupromote biashara zetu (NDUGU WATEJA BADO HUDUMA ZETU ZINAPATIKANA KWENYE MADUKA YOTE YA OTC HAPA NCHINI KARIBUN ..NAKUSHAURI TUMIA NGAO KWA ULINZI MZUR WEWE NA FAMILIA YKO
unachekesha, hiyo ngao haipo sokoni na haitengenezwi tena
 
Kunguni hakai sehemu chafu tu
We humjui huyo mdudu akiingia ameingia.
Hata ikulu anaishi na anatamba vizuri
Yani mtu anayemuhuaisha kungunguni na uchafu amevurugwa huyo akishaingia kwenye chaga picha imeisha unaweza hama nyumba
 
Hivi mkuu mazingira anayoishi kunguni na chawa ni tofauti?
Ndio chawa kwenye mwili kunguni kitandani na kwenye nguo ila sana sana kwenye nguo samani... Mishe mishe zao usiku wa giza... Mchana kuwaona ni mara chache sana
 
Miezi kama miwili iliyopita nilikua nimekaa kwenye mgahawa mmoja nakula mchana ghafla nikahisi nimeng'atwa na kitu shingoni kushika hivi kunguni huyu hapa

Niliacha kula nikaenda home nikavua nguo zote nikajikagua sikuona kitu,kwavile najua mziki wao nilitoa kitanda nje na godoro na shuka zote nikachukua like sufuria kubwa la kupika kwenye masherehe nikachemsha shuka na kumwagia maji moto kwenye godoro japokuwa sikuona kunguni yeyote
Nilisema mdharau mwiba mguu huota tende

Yule mmoja sikumdharau nilianzisha vita mazima
 
Ndio chawa kwenye mwili kunguni kitandani na kwenye nguo ila sana sana kwenye nguo samani... Mishe mishe zao usiku wa giza... Mchana kuwaona ni mara chache sana
Haha yaani wote ni kumpatia binadamu tafrani tu🤣🤣
 
Miezi kama miwili iliyopita nilikua nimekaa kwenye mgahawa mmoja nakula mchana ghafla nikahisi nimeng'atwa na kitu shingoni kushika hivi kunguni huyu hapa

Niliacha kula nikaenda home nikavua nguo zote nikajikagua sikuona kitu,kwavile najua mziki wao nilitoa kitanda nje na godoro na shuka zote nikachukua like sufuria kubwa la kupika kwenye masherehe nikachemsha shuka na kumwagia maji moto kwenye godoro japokuwa sikuona kunguni yeyote
Nilisema mdharau mwiba mguu huota tende

Yule mmoja sikumdharau nilianzisha vita mazima
Haha a small attack retaliated by a massive and horrible attacks 🤣🤣
Wakionekana tena hapo ndani kwako bhasi wamekuamulia mkuu.
 
Waziri wa Elimu wa Ufaransa, Gabriel Attal ametangaza siku ya Ijumaa kuwa nchi hiyo imelazimika kufunga shule saba baada ya kuvamiwa na kunguni ambao wametapakaa kila mahali.

Kunguni wamekuwepo Ufaransa na mataifa mengine ya Ulaya kwa miongo kadhaa. Mtaalamu wa vidudu kwenye Hospitali ya Chuo Kikuu cha Mediterenia mjini Marseille, Ufaransa, Jean-Michel Berenger, anasisitiza kuwa kunguni hawatokani na uchafu, bali wanachofuata ni damu ya mtu.
 
Back
Top Bottom