BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Ahahaha! Napata tabu sana. Kipigo chake ni cha mbwa koko.Halitophobia.
Sasa mbona sinuki mdomo?Nikusaidie jambo mkuu,
Tatizo la kunuka mdomo wengi hudhani limasababishwa na kutosugua mdomo vizuri.
Ukweli ni kuwa,hilo tatizo linaanzia tumboni. Mdomo ni kama kitolea harufu tu,ila tumboni ndiyo Kuna tatizo halisi.
Ah dawa zangu ni kubwa sana si za mchezo.Hofu ipo Kama unatumia dawa za mia 3 ,kila ukila haupigi mswaki lazima unuke, Kuna wengine hunuka mpaka pua, unaweza fikiria ni mdomo kumbe ni chemba za pua zinatema, mengine ni ugonjwa tu hivyo wanapaswa kuitambua hali Yao na kumwona daktar.
Ahsante sana ila sidhani kama umenielewa.BICHWA KOMWE -
Nimekusogezea na maelezo ya kushiba ya AI maana siku hizi tumerahisishiwa,little Sana kunaumiza vidole, hahaha
Soma hiiπ
Watu wengi hudhani harufu mbaya ya kinywa (halitosis) inasababishwa na meno au ulimi pekee, lakini tumbo na mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ni vyanzo vikuu pia.
Hivi hapa ndivyo matatizo ya tumboni yanavyoweza kusababisha hali hiyo:
1. Kiungulia na Mcheuaji (GERD)
Hii ndiyo sababu ya kawaida zaidi. Wakati vali inayotenganisha tumbo na koo (esophagus) inapolegea, asidi ya tumboni na mabaki ya chakula kilichochanganyika na vimeng'enya hupanda juu kuelekea kooni.
* Matokeo: Harufu kali ya asidi au kitu kilichochachuka mdomoni.
2. Maambukizi ya Bakteria (H. Pylori)
Bakteria aina ya Helicobacter pylori, ambao husababisha vidonda vya tumbo, hutoa gesi fulani wanapovunja chakula na kuishi tumboni.
* Matokeo: Gesi hizi hupanda juu na kutoa harufu mbaya unapohema au kuzungumza.
3. Matatizo ya Ini na Figo
Ingawa viungo hivi viko mbali na mdomo, kazi yake ni kusafisha sumu mwilini. Ikiwa havifanyi kazi vizuri, sumu na kemikali hujijenga kwenye damu na kutolewa kupitia mapafu unapohema.
* Harufu ya Ini: Harufu kama ya udongo au kitu kilichooza (fetor hepaticus).
* Harufu ya Figo: Harufu kama ya mkojo au amonia.
4. Ukosefu wa Mizani ya Bakteria (Sibo)
Tumbo lina bakteria "wazuri" na "wabaya". Ikiwa bakteria wabaya watazidi (Small Intestinal Bacterial Overgrowth), huzalisha gesi nyingi za hydrogen na methane ambazo huingia kwenye mzunguko wa damu, kuelekea kwenye mapafu, na kisha kutoka nje kama harufu mbaya ya kinywa.
5. Chakula Kutoka taratibu (Constipation)
Ikiwa mfumo wako wa kusaga chakula ni mzito na unapata choo kwa shida, mabaki ya chakula huanza kutoa gesi za kioza ambazo hufyonzwa na mwili na kutokea kwenye pumzi.
Je, Utajuaje Kama Chanzo ni Tumbo?
Kuna dalili chache zinazoweza kukupa picha kuwa tatizo haliko kwenye meno:
* Unapiga mswaki vizuri na kutumia uzi (floss), lakini harufu inarudi baada ya muda mfupi sana.
* Una maumivu ya tumbo, kiungulia, au tumbo kujaa gesi mara kwa mara.
* Ulimi wako unakuwa na utando mweupe au wa njano kwa nyuma kabisa.
Kidokezo: Ikiwa unahisi harufu hiyo inatokea zaidi "ndani ya koo" kuliko kwenye meno, ni vyema kumuona daktari wa magonjwa ya ndani (Gastroenterologist) ili aangalie mfumo wako wa mmeng'enyo.
Bas sawa , hivyo haupaswi kuwa na hofuAh dawa zangu ni kubwa sana si za mchezo.
Na ukigundua kwamba sipendi kunuka mdomo utaelewa nanunua za bei gani.
Yaani niko makinii
Ah, hofu imenishinda bwashee.Bas sawa , hivyo haupaswi kuwa na hofu
Wapi sijakuelewa bichwa? Tiririka.Ahsante sana ila sidhani kama umenielewa.
Alichosema ndicho ulichokisema in one word. Swali nadhani ni: cause ya hiyo condition ni nini?Halitophobia.
Sizungumzii kunuka mdomo.Wapi sijakuelewa bichwa?
Nimekuelewa vizuri sana kwa sababu hata Mimi nachukia harufu ya mtu anaenuka mdomo hivyo lazima na wewe ujishtukie , kuna wale wanakuja na tongotongo pembeni ya jicho ukimwona na wewe lazima usugue macho kuhofu tu au wale wanatoa mapovu pembeni ya mdomo wakati wa kuongea, lazima ukimwona na wewe ufute mdomo ,hiyo ni kawaida ya mtu anaezingatia u safi.Ah, hofu imenishinda bwashee.
Sasa kutokana na hofu ya kunuka domo nilishaenda kwa daktari akanicheki akaniambia sinuki mdomo, hapo unasemaje mwagito?Kumuona Daktari wa kinywa na Meno clinics nyingi ni 5000/=
Tujifunze kutatua changamoto zetu kisayansi with facts
ππππππNimekuelewa vizuri sana kwa sababu hata Mimi nachukia harufu ya mtu anaenuka mdomo hivyo lazima na wewe ujishtukie , kuna wale wanakuja na tongotongo pembeni ya jicho ukimwona na wewe lazima usugue macho kuhofu tu au wale wanatoa mapovu pembeni ya mdomo wakati wa kuongea, lazima ukimwona na wewe ufute mdomo ,hiyo ni kawaida ya mtu anaezingatia u safi.
Unanchosha kakaako kama umeamua kufanya content.Sizungumzii kunuka mdomo.
Nazungumzia HOFU YA KUNUKA MDOMO na wakati HAUNUKI MDOMO.
Twende na hayo maudhui.
πππππππππUnanchosha kakaako.
Kumbe unataka tucheze mchezo wa hide and seek(kombolela)?
Achana na hofu,Kama umeshalewa rudi home kulala,asubuhi mkere Tena mama mwenye nyumba kwa kupiga maswali kwa sifa na kukohoa kama unatapika.