Hofu ya kunuka Mdomo: Ni sayansi au kichaa?

Alichosema ndicho ulichokisema in one word. Swali nadhani ni: cause ya hiyo condition ni nini?
Masuala ya kisaikolojia kama kujali sana kuhusu afya(hypochondria), udadisi uliopitiliza(obsessive compulsive disorder) au olfactory reference syndrome(kujali sana kuhusu harufu za mwili).

Haya yote yanaweza kutokana na kiwewe(trauma) kilichosababishwa na uonevu, unyanyasaji wa awali, matumizi ya mitandao, tabia za kurithi...
 
Darkest psychology
 
Hofu ipo Kama unatumia dawa za mia 3 ,kila ukila haupigi mswaki lazima unuke, Kuna wengine hunuka mpaka pua, unaweza fikiria ni mdomo kumbe ni chemba za pua zinatema, mengine ni ugonjwa tu hivyo wanapaswa kuitambua hali Yao na kumwona daktar.
Kutoka kwa Dr. Min

Santo sana kwa mwongozo
 
Hapo ukiwa na mke au mume ndo utapata ukwel unanuka au hunuki,ila mpenzi lazima akudanganye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…