Hofu ya maambukizi ya VVU inanimaliza kiafya, nilishiriki ngono na muathirika wa UKIMWI

Kwaini tuna zunguka kote huko, wewe jitolee tufanye research, sisi wenywe ,kama unajiamini na hakuna Ukimwi basi ninaye rafiki yangu ana HIV , tukutane nimelete halafu tunyonye damu yake na tukudunge wewe halafu uishi bila kufanya lolote na hata kunywa dawa tuone kwa uhakika uta kuwa salama au la si Ukimwi hakuna .
Kuhusu kwanini mtu anapatwa na Gono haraka, Gono ni backteria unapo kutana na mtu mwenye bacteria hao , huingia kwnye uume kupitia mirija ya uume, na pale inapo ingia tuu, immunity huanza fanya kazi na kupambana nayo na ndi poa hapo kiashic ha hizo white blood cells huwawa na kutolewa ndio husababisha mtu kutoka usaaa . hivyo gonorea ni rahisi kuambukizwa kuliko HIV ambapo HIV mpaka damu zigusane, yani kuwepo na mchubuko na pia , inategemea na idadi ya virusi alivyo navyo muathirika yani Viral loads .
Haya lini nikutafute uje tukudunge sindano tufanye research yetu wenyewe?
 
Ina wezekana wewe ni malaya na malaya yoyote ni mjuzi kwenye sex, inawezekana unajua vizuri kumfanya mwanamke au labda wanawake wanakupenda kiasi unapo kuwa nao wana kuwa teari wanakua wamesha loa kwenye uke au unajua namna ya kuwachezea waka loa vizuri na uka wafanya .
Labda utusaidia katika ruka ruka zako je, ulisha wahi fanya na wmanamke kiasi ukajisi ni mkavu na akakuchubua au tuu akawa mkavu uke ukakauka kati ya hao wanawake wako walio semekana wame athirika? .
Pia labda walikua wan ajijua na wana kunywa dawa, unapo kunywa dawa pia chances za kuambukiza wengine hupungua mara nyingi zaidi na kumbuka pia mwanaume kumuambukiza mwanamke ni rahisi zaidi kuliko mwanamke kumwambukiza mwanaume .
 
Broh huu ugonjwa ni nadharia Sana kuliko uhalisia. Uwezi sex na dem mwenye gono alaf ww usipate hata umuandae mwaka mzima na kutumia vilainishi. Why ukimwi iwe tofauti?
Ugonjwa ni serious mkuu, usijipe moyo
 
Una uhakika wewe ni binadamu?
Sishangai kwa hilo swali kwani ww ni wale mlioamua kwa hiari yenu kushikiwa akili na watu wengine. Kuna watu wanafikri kwa niaba yenu.

Sasa unashangaa mimi kuwa nao wawili na hao ni wale niliowapima mwenyewe kwa kuwa walikuwa wanataka waniaminishe kuwa wamewaka kweli bado wale nakung'uta bila kuwapima na kondom siijui labda kwa kesi ya kukwepa mimba.

Kuna mdau hapo kasema saba mbona humshangai. Fungua akili yako mkuu
 
Na huo ukimwi ambao siku hizi wanapima mate upoje kwa kuwa umesema virusi vinakaa kwenye damu na kwenye mate vinatafuta nini. Nijibu kwanza hilo swali ndio tuendelee
 
Wewe utakuwa mpiga ramli
 
S n ukapime mzee, kapime tu la svyo utajikuta unakufa kwa mawazo.....hofu n mbaya mnooo
 
Kuna mawili

Hamjachubuana

Au ni miongoni mwa wale watu wachache ambao antigens zao sijui antibody zao jinsi walivyo hawawezi pata ukimwi


Mfano kama vile wagonjwa wa sickle cell hawapatagi malaria
 
Huyu binti inaonekana alikuwa anajua hali yake. Hakuwa na wasiwasi kabisa
We ndo mjinga ukiamua kuishi maisha ya kihuni we tumia condomu mwanzo mwisho kiusahii achana na mambo ya kumpima kila mwanamke unayekutana kama unamalengo nae pima Ila kama Hauna malengo nae tumia condomu
 
Mbona mnaogopa kujidunga sindano yenye HIV kama ugonjwa huo haupo ?
Ungekua ni mfatiliaji makini usingetoa request hiyo, maana sio wa kwanza kusema hivyo.

Nikijichoma ww utajuaje/utaonaje kama nimejichoma ili uamini? Maana post za juu umeambiwa ukasearch vipi YouTube ili uweze kuona aliyeshafanyaga hivyo, sidhan hata kama umeenda kuangalia. Ila unarudi humu na kuuliza kitu hicho hicho
 
We ndo mjinga ukiamua kuishi maisha ya kihuni we tumia condomu mwanzo mwisho kiusahii achana na mambo ya kumpima kila mwanamke unayekutana kama unamalengo nae pima Ila kama Hauna malengo nae tumia condomu
Mzee mbona kama unaingilia mipangilio yangu ya maisha, then unataka nifate vile unavoona wewe ni sahihi.
Mwamba kuna sehemu hauko sahihi
 
Nimemtajia mpaka jina la yule aliyefanya hivyo tena hadharani mbele ya kamera za waandishi wa habari. Ila ameng'ang'ana tu na mahubili yake yasiyo na maana
 
Mdudu kakaa sehemu ya utelezi,watelezaji hasa tunaopiga mvinyo tupunguze alcohol concentration katika kufanya decision.

AIDS ni mateso from once you, get to entire your life.
 
Sijui una tatizo la akili ama sijui ni nini, ninachosema unitafute mimi na wewe, nikiwa na rafiki yangu mwenye HIV, ujichome sindano hiyo live huku tuki kurecord kwenye Facebook, Instagram na Youtube live, tukiwa wote mashahidi ya hiyo research isiyo hitaji fundings za aina yoyote, mbona una kuwa unajibaraguza kama hauelewi ninachosema? Tuone sasa kama una weza thubutu, sisi hizo research za Youtube tusizo zihakiki hatuzihitaji tunataka the current one ambayo itakua ya kwako . halafu tuone utaongea ujinga gani .
 
Nimemtajia mpaka jina la yule aliyefanya hivyo tena hadharani mbele ya kamera za waandishi wa habari. Ila ameng'ang'ana tu na mahubili yake yasiyo na maana
Sijui na wewe una tatizo la akili ama sijui ni nini, hizo research tusizo jua chanzo chake na kama kuna aina yoyote ya edditing au wame fake kitu chohocte sisi tuta zitaka za nii, ninachosema unitafute mimi na wewe, nikiwa na rafiki yangu mwenye HIV, ujichome sindano hiyo live huku tuki kurecord kwenye Facebook, Instagram na Youtube live, tukiwa wote mashahidi ya hiyo research isiyo hitaji fundings za aina yoyote, mbona una kuwa unajibaraguza kama hauelewi ninachosema? Tuone sasa kama una weza thubutu, sisi hizo research za Youtube tusizo zihakiki hatuzihitaji tunataka the current one ambayo itakua ya kwako . halafu tuone utaongea ujinga gani .
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…