Emilio Mzena
JF-Expert Member
- Jul 13, 2023
- 268
- 639
Wapi Msigwa PeterCcm wanademka tu..
View attachment 3296819
🤣🤣🤣Hatangazi tena Ebola na M.Pox?!
CCM hadi inatia huruma, imekosa kabisa viongozi.
Hali ni tete kona za Lumumba.Tukiwaambia huko Lumumba hakukaliki muwe mnaelewa jamani.
CCM kupitia Katibu Mwenezi wake Taifa, Qmos Makalla wametangaza ziara ya kusini mwa nchi, mikoa ya Lindi na Mtwara kuanzia tarehe 10 mpaka 18 mwaka huu.
Hiyo ni baada ya kijiji anachozoa Tundu Lissu na John Heche huko kwenye ziara yao ya kuwaelimisha wananchi wa kusini dhana nzima ya No Reforms No Election.
Kumeanza kuchangamkaView attachment 3296818
Noma sana wapinzani wakikiwasha hii kitu inaongezekaPer diem..
Hatukupendaa kuwa single, kitu kizitoWe misso misondo umepigaje hapo,
msibabaike my friends, ladies and gentlemenTukiwaambia huko Lumumba hakukaliki muwe mnaelewa jamani.