Hofu ya no reforms no election; Amos Makalla atangaza ziara ya kusini

msibabaike my friends, ladies and gentlemen

hiyo ni ziara ya kawaida tu kwa CCM na hakuna haja ya chama chochote cha siasa kuweweseka ingawa ni ziara nzito sana 🐒
Unajua mziki wa NO REFORM NO ELECTION hatakama hujui bit zake unaweza kujikuta unatikisa tu kichwa na miguu, ukiulizwa kulikoni, unawajibu mwenzenu hata sielewi ninakokwenda
 
Mimi sishauri aende huko.Asije akaambukizwa Ebola na M-pox.Nina hakika akina wamesambaza huko.Kama aaenda asiache kuvaa barakoa
mwache akakumbane na Ebola na MPox ya No Reforms, No Elections!
akirudi hoi!
 
Tokea Lissu achukue uongozi CHADEMA, huko Lumumba hakukaliki Viyoyozi vinawaka lakini wanatokwa na jasho😆😆😆
Asante Mungu kwa kutuletea Tundu Lissu.🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Tukiwaambia huko Lumumba hakukaliki muwe mnaelewa jamani.

CCM kupitia Katibu Mwenezi wake Taifa, Qmos Makalla wametangaza ziara ya kusini mwa nchi, mikoa ya Lindi na Mtwara kuanzia tarehe 10 mpaka 18 mwaka huu.

Hiyo ni baada ya kijiji anachozoa Tundu Lissu na John Heche huko kwenye ziara yao ya kuwaelimisha wananchi wa kusini dhana nzima ya No Reforms No Election.

Kumeanza kuchangamkaView attachment 3296818
masikini ccm wanatia huruma kamsingwa ndo kanazungushwa angalau kujibu hoja za chadema ccm wengine wote wanaogelea kwende dimbwi la rushwa na ufisadi wanabeua tu kwa shibe
 
Hali ni tete kona za Lumumba.

Mziki wa Lissu, Heche na Chadema yao si wa kitoto!!

Lissu endelea kuwapelekesha vilaza hawa!
Nyie kama mko kishabiki zaidi vile!
Mi nijuavyo lidude CCM likisikia ushabiki wenu ndo huwa linajipanga zaidi na linajua mbinu
 
Makala anategemea hoja za makapi ya upinzani:- Kambaya na Msigwa.
 
Tukiwaambia huko Lumumba hakukaliki muwe mnaelewa jamani.

CCM kupitia Katibu Mwenezi wake Taifa, Qmos Makalla wametangaza ziara ya kusini mwa nchi, mikoa ya Lindi na Mtwara kuanzia tarehe 10 mpaka 18 mwaka huu.

Hiyo ni baada ya kijiji anachozoa Tundu Lissu na John Heche huko kwenye ziara yao ya kuwaelimisha wananchi wa kusini dhana nzima ya No Reforms No Election.

Kumeanza kuchangamkaView attachment 3296818
Economy is falling at rocket speed
 
Tunamshauri aende na Konde Boy huko maana hakuna kijana atataka kusikia siasa za kilaghai za CCM tena.
Vijana watajaa uwanjani wakisikia...amelowaaa amelowaaa
 
Makala anategemea hoja za makapi ya upinzani:- Kambaya na Msigwa.
Msigwa alienda CCM na ka hoja kamoja tu ka kumhusu Mh. Mbowe!! sasa hivi anaokoteza okoteza cha kuongea anatia huruma huyo mzee.
 
Hivi sasa anasema amejiunga kwenye jeshi kubwa (ccm) linaloweza kutatua kero za wananchi. Aulizwe Msigwa, kwanini hilo jeshi kubwa (ccm) limeshindwa kuzitatua hizo kero kwa zaidi ya miaka 60?
 
Back
Top Bottom