Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
Dah hapo kwenye kitambi wewe acha tu ,wanawake Mungu anawaonaWanawake tuna tatizo la kufanya uchaguzi hasa kuingia katika ndoa
Wanaume wao wanataka mke atakayeweza kuiweka familia pamoja yenye amani na furaha bila kujali muonekano wa mwanamke
Sisi wanawake wengi tunaangalia pesa, urefu ufupi wembamba kitambi ilikuingia kwenye ndoa
Mwisho wa siku tunashtuka kumbe ndoa haihiitaji kitambi urefu ila maelewano upendo wa kweli kushirikiana kua na familia bora.
Fanya mazoezi mkuu😂Dah hapo kwenye kitambi wewe acha tu ,wanawake Mungu anawaona
Natamani sana tena sana mazoezi Ila mambo so mambo,nilijiunga kwenye timu ya Kijiji nikawa napiga tumazoezi kimtindo ,Sasa siku tukapata mechi na majamaa ya huko Tukuyu yamekula ndizi na mtindi yameshiba ,niliishia kutolewa uwanjani kwa kubebwa na kuwaishwa hospitali na the rest sitaki tena habari za mazoeziFanya mazoezi mkuu😂
Hii story nzuri uifungulie uzi ili tujue ilikuaje😂 ila kitambi ni ugonjwa mpya watu 8 kati ya 10 tunaopishana nao wana vitambiNatamani sana tena sana mazoezi Ila mambo so mambo,nilijiunga kwenye timu ya Kijiji nikawa napiga tumazoezi kimtindo ,Sasa siku tukapata mechi na majamaa ya huko Tukuyu yamekula ndizi na mtindi yameshiba ,niliishia kutolea uwanjani kwa kubebwa na kuwaishwa hospitali na the rest sitaki tena habari za mazoezi
Kunzia late 20's hadi early 30's epuka kutumia kutumia wanga kwa wingi.Hii story nzuri uifungulie uzi ili tujue ilikuaje😂 ila kitambi ni ugonjwa mpya watu 8 kati ya 10 tunaopishana nao wana vitambi
Anhaaa ,ipo siku nitafungua uzi mkuu .Hii story nzuri uifungulie uzi ili tujue ilikuaje😂 ila kitambi ni ugonjwa mpya watu 8 kati ya 10 tunaopishana nao wana vitambi
Mkuu umechelewa kunipa ushauriKunzia late 20's hadi early 30's epuka kutumia kutumia wanga kwa wingi.
Kuna kale ka kitambi ka kiutu uzima huwa hakeupikiki.
Umewaza vyema siyo haba kichwani upo vizuri,ikiwa hujaolewa nakubariki kama hujapata wa kukuoa akapatikane.Wanawake tuna tatizo la kufanya uchaguzi tukitaka kuingia katika ndoa
Wanaume wao wanataka mke atakayeweza kuiweka familia pamoja yenye amani na furaha bila kujali muonekano wa mwanamke
Sisi wanawake wengi tunaangalia pesa, urefu ufupi wembamba kitambi ili kuingia kwenye ndoa
Mwisho wa siku tunashtuka kumbe ndoa haihiitaji kitambi urefu ila maelewano upendo wa kweli kushirikiana kua na familia bora.
Yah…hofu ni mbaya sanaHofu yaweza kukufanya kuwa mtumwaaaa
Hofu ya kutopata mwenza
Hofu ya biashara / kazi / ajira etc
Hofu ya kwenda peponi/mbinguni/motoni/toharani?
Hofu hofu ndo maisha ya kila leo
Hofu
1) Kuogopa mambo yaliyopita! (2Kor 5:17).
2) Kuogopa mambo yaliyopo (Yoshua 1:8)
3) Kuogopa mambo yajayo (Mathayo 6:33-34)
OkHOFU YA UMRI INAVYOFANYA WATU WAPOTEZE UHURU WA KUCHAGUA.
Tafiti kadhaa zinaonyesha umri inawezekana ikawa kitu cha kwanza kuwapa msongo wanawake wakihsi kupoteza mvuto na soko lakini pia hata wanaume umri huwapa msongo hasa wanapokuwa wanamaliza ujana wao.
WENGI HUJIKUTA KWENYE MACHAGUO MABOVU KULIKO WALIYO YAKATAA
Hofu ya umri ikizidi uwezo wa muhusika hujikuta kwenye maamuzi ya kushangaza , alichokiktaa kinakuwa bora zaidi ya amechokigaua kwa shinikizo la hofu ya umri 😔
NINI UFANYE?
Ukianza kuona huangalii tena ubora bali untaka tu jambo litimie jua tayari wewe ni muhanga wa hofu ya umri, kaa chini tulia jiambie ubora ni zaidi ya hofu ya umri.
#Instagram@fikia ndoto zako.
Kumbe jf kuna wanawake wenye akil bwana.Wanawake tuna tatizo la kufanya uchaguzi tukitaka kuingia katika ndoa
Wanaume wao wanataka mke atakayeweza kuiweka familia pamoja yenye amani na furaha bila kujali muonekano wa mwanamke
Sisi wanawake wengi tunaangalia pesa, urefu ufupi wembamba kitambi ili kuingia kwenye ndoa
Mwisho wa siku tunashtuka kumbe ndoa haihiitaji kitambi urefu ila maelewano upendo wa kweli kushirikiana kua na familia bora.
🤣😂Mkuu umechelewa kunipa ushauri
nina kitambii hadi kanisani mchungaji aliniuliza mbona miaka nenda rudi sijifungui?
Nikamwambia sio mimba ni kitambi!
Akaniambia alidhani ni mimba ili tufunge nijifungue salama😥
Kila siku nasema nitaanza kesho, akiwashi lakini🤣😂
Anza mazoezi sasa..
Subiri kikianza kuwasha..😂👏👏Kila siku nasema nitaanza kesho, akiwashi lakini