Hofu ya umri inavyofanya watu wapoteze uhuru wa kuchagua

Upo sahihi, mimi nilikua na mahusiano na binti fulani hivi tuliachana kwa sababu alikua anataka tuishi pamoja na tuzae mtoto wakati kwa kipindi hicho mimi sikua nimesimama kiuchumi nikamwambia kwa sasa sio muda sahihi, nguvu aliyoendelea kuitumia kusisitiza ilo suala nikaona nitafute sababu ya kuachana nae kuliko nianzishe familia wakati sina kitu. Takribani miaka mitatu sasa sina mawasiliano nae wala sijui yuko wapi lakini inawezekana uko alipo kaolewa au kazaa na mtu ambae hakumpenda
 
Dah hapo kwenye kitambi wewe acha tu ,wanawake Mungu anawaona
Vitambi vingi sio vitambin Bali kujaa Kwa mfuko wa kinyesi utumbo mpana!

Wenye vitambi wengi wanamatumbo ya wastani tu hata wasifanye mazoezi hawawezi kuwa na vitambi!!

Waepuke kujaza mawanga ya ngano asubuhi kama breakfast!

Wanywe chai isiyo nasukari mapema asubuhi sana vikombe viwili halafu wataenda choo na kumwaga uchafu ulioganda!saa nne wanywe uji kikombe kimoja TU au viwili bas,ikifika saa nane au Saba mchana wale lunch na jioni dinner!asubuhi mwendo ule ule!!!

Sio unapakia chapati mbili na supu asubuhi halafu mchana the same,Bora unywe supu pekee asubuhi Ili ku stimulate digestion!!!

Vitambi vingi ni ujazo wa mavi hakuna kingine!
 
😃😃
 
Uzi ulitakiwa kuishia hapa.
Umemaliza yote Mkuu.
 
Mkuu labda unaongelea wanaofanya kazi ofisini. Hizi pilika pilika zetu za car wash, kubeba mizigo n.k ndo unywe chai tupu, uji au supu tupu mpaka kufikia muda wa lunch si utakua umeanguka kwa kukosa nguvu.
 
Mbona umeongeza umri.
Kuanzia 25 years ni kumuokoa. Unakuwa katika mpango wake wa kustaafu .
 
Mkuu umechelewa kunipa ushauri

nina kitambii hadi kanisani mchungaji aliniuliza mbona miaka nenda rudi sijifungui?
Nikamwambia sio mimba ni kitambi!
Akaniambia alidhani ni mimba ili tufunge nijifungue salama😥
Mkuu, pole kwa kadhia ya kitambo.unaongea kwa huruma sana. Katika Milo Yako mitatu achana na wanga( ngano,sembe nk) badala yake weka matunda hasa yasiyo na sukari mfano tango, parachichi na ongeza protein mfano mayai, nyama na mboga za majani. Kila unaposikia njaa usile kwa kuwa ni asubuhi means break fast waeza kula saa 5 kwa kunywa kikombe Cha kahawa au matunda. Chakula Cha mchana jiopigie heavy meal (protein,matunda na mbogamboga) usiku malizia na matunda, kunywa maji mengi halafu usipende kutafunatafuna / kula vitu vidogovidogo. Wacha a na vitu vya sukari. Zaidi fuata ushauri wa Dr Janabi angalau kwa 50%utaona matokeo. By the way kupungua mwili 80% inaamuriwa na namna unavyokula na 20% ndo mazoez pia fanya detox ya mwili + kufunga.You are what you eat
 
Hata mihogo na wali?
 
Kwani 27+ hawafai
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…