Hongera kwa kufanya hayo maamuzi nasi wengine wote tukapime pasipo woga wala wasi wasi kwani kujua afya yako hapaswi usubiri kuumwa.... nenda hospitali ya uma yoyote iliyo karibu nawe pia hospitali kubwa za binafsi utapata hii huduma mkuu... hata mimi nilikua na woga kama wewe ila sasa najimini na kujilinda zaidi...
Asante wakuu kwa ushauri na comments nzuri. Nitatafuta kituo nipime, sasa sijui ndani ya 1 week HIV yaweza kuonekana kama ipo au isipoonekana nijione salama? Maana sitaki kusubiri muda mrefu naweza kuchanganyikiwa. Hata hivyo vituo vingi wanataka kusibiri miezi 3 tangu mgegedo.
Bado hawana haraka....kuna rafiki zangu kutoka nchi moja ya Asia kila nikiuliza mmja mmja kuhusu UKIMWI na HIV wanasema hawjawahi kuona mtu anaumwa ukimwi na maeneo yao hawapo...leo nikajaribu kutafuta ukweli kwenye mtandao,nchi ina watu milioni 106 ina watu wenye HIV 7800 tu na HIV/AIDS ADULT rate ni 0%,nikajiuliza huu ukimwi unaadhiri binadamu wote au ni race ya weusi tu....kwa hivyo sidhani kama makampuni mengi yameweka jitihada kwenye tafiti ya ugonjwa huu maana hata madhara makubwa ssidhani kama yanawapata sana kama huku kwetu kusini mwa jangwa la sahara.Pakistani ina watu milion 190 wana idadi ya watu wenye hiv 75000 na HIV/AIDS ADULT RATE ni 0.1%
Ukiwa fresh, usipo kuwa fresh usirudie kufanya ngono zembe
ungesubiri tu miezi 3 ili wadudu wakuekue ili waonekane kwenye vipimo.
sio kujilinda tu na kuwalinda wengine kama unao