yutu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 1,668
- 1,017
Hongera kwa kufanya hayo maamuzi nasi wengine wote tukapime pasipo woga wala wasi wasi kwani kujua afya yako hapaswi usubiri kuumwa.... nenda hospitali ya uma yoyote iliyo karibu nawe pia hospitali kubwa za binafsi utapata hii huduma mkuu... hata mimi nilikua na woga kama wewe ila sasa najimini na kujilinda zaidi...
sio kujilinda tu na kuwalinda wengine kama unao