MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Hakuna binti atakuja ,tafuta kwanza karatasi madada wa leo hawatongozwi wanakuja wenyewe penye uwaridiHabarini familia nina miaka 25, natamani sana kuwa na familia yangu lakini nikizingatia sina fedha yoyote ile nipo natengemea nyumbani kitu kama hicho kinanifanya niwe na hofu hata ya kutafuta mke kwa hofu ya kukosa fedha.
Naombeni kufahamu kama kuna binti yoyote ambaye yupo tayari kuishi maisha kama hayo aje anisaidiee..kunitoa katika hiyo hali.
Kwani muda mwingine ninapokuwa na hasira najichukulia sheria mkononi naombeni msaada wenu