MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Hakuna binti atakuja ,tafuta kwanza karatasi madada wa leo hawatongozwi wanakuja wenyewe penye uwaridiHabarini familia nina miaka 25, natamani sana kuwa na familia yangu lakini nikizingatia sina fedha yoyote ile nipo natengemea nyumbani kitu kama hicho kinanifanya niwe na hofu hata ya kutafuta mke kwa hofu ya kukosa fedha.
Naombeni kufahamu kama kuna binti yoyote ambaye yupo tayari kuishi maisha kama hayo aje anisaidiee..kunitoa katika hiyo hali.
Kwani muda mwingine ninapokuwa na hasira najichukulia sheria mkononi naombeni msaada wenu
Sawa, naomba mchongo mkuuUngendika unaomba mchongo Sio kuhusu mke ndugu yangu
Mimi huwa sielewi unakuta kijana hana pesa hata yeye kuishi ni kwa tabu, halafu anawaza kuwa na mwanamke 🤣🤣🤣min -me na Half american mnaona wenzenu!!
Hahahaha 😂Hakuni shido
Sawa unaweza kuvua samaki?Sawa, naomba mchongo mkuu
Miaka 25 bado unaishi nyumbani????? Dah sio dhambi lakini jitafakari mi miaka 19 tu niashaondoka kwenda mikoa ya mbali na hadi Leo nadunda na mke na mtoto fresh tuHabarini familia nina miaka 25, natamani sana kuwa na familia yangu lakini nikizingatia sina fedha yoyote ile nipo natengemea nyumbani kitu kama hicho kinanifanya niwe na hofu hata ya kutafuta mke kwa hofu ya kukosa fedha.
Naombeni kufahamu kama kuna binti yoyote ambaye yupo tayari kuishi maisha kama hayo aje anisaidiee..kunitoa katika hiyo hali.
Kwani muda mwingine ninapokuwa na hasira najichukulia sheria mkononi naombeni msaada wenu
Ndio uelewe sasa🤣🤣🤣🤣Mimi huwa sielewi unakuta kijana hana pesa hata yeye kuishi ni kwa tabu, halafu anawaza kuwa na mwanamke 🤣🤣🤣
Ukinifundisha siwezi kushindwaSawa unaweza kuvua samaki?
😂😂😂Kwani muda mwingine ninapokuwa na hasira najichukulia sheria mkononi naombeni msaada wenu
Dipresheni tupu hiyo😂min -me na Half american mnaona wenzenu!!