Hofu yatanda jangwani. Hawajui wafanye nini, waanza kuzua malalamiko

Hofu yatanda jangwani. Hawajui wafanye nini, waanza kuzua malalamiko

Ni picha la kutisha sana muuaji wa jangwani yupo tena kwa ajili ya kazi hiyo.

Hofu kubwa imetanda katika mioyo ya wana jangwani kwa kuwa hawajui hatma yao kwa sasa na wameanza kutumia njia yao maarufu ya kutafuta huruma.

Njia hii ya malalamiko ilifanya waonewe huruma na baadhi ya watu walioamua kujiunga nao.

Mwaka huu ni wa malalamiko sana kwa TFF,serikali,waamuzi,CAF na hata waandishi wa habari wa kimataifa wanaomposti mpinzani.

Poleni sana "utopolo msiyempenda kaja"
Kweli duniani kuna watu wavumilivu aisee na wafia timu, Sasa wewe singida tu imekutoa kamasi mpaka kutegemea mbeleko ya refa mpaka kawapeleka kwenye matuta ndio utawaweza yanga? Unajitoa kabisa ufahamu unapost kitu cha aina hii!
 
Back
Top Bottom