Hofu yatanda KKKT Dayosisis ya Mashariki na Pwani, baada ya kumfyeka mchungaji Kimaro, panga la Askofu Malasusa kuwafyeka mchungaji Mbiso na Masai

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Wachungaji wanahaha kwa hofu kuu wakihofia upanga mkali.

Kuna taarifa zimesambaa kwamba Askofu Malasusa anaunoa upanga wake kuwamaliza Mbiso na Masai.

Mbiso na Masai, kama Dk. Kimaro, pia nyota zao zinawaka kkwa kiasi Cha kumfanya Askofu Malasusa awachukie.

Muda wowote na wao watafyekwa.
 
Hata mimi Mchg Ngongo nina wasiwasi sana.
 
Utakuta hapo chanzo ni mambo ya maslahi aka feza
[emoji1] waamini endeleeni kuhudhuria makanisani mtoe sadaka

Ova
 
Kanisa limegeukaa chama cha siasa ..panga panguaa kazi kwel kwelii...
 
Wachungaji wanahaha kwa hofu kuu wakihofia upanga mkali.

Kuna taarifa zimesambaa kwamba Askofu Malasusa anaunoa upanga wake kuwamaliza Mbiso na Masai.

Mbiso na Masai, kama Dk. Kimaro, pia nyota zao zinawaka kkwa kiasi Cha kumfanya Askofu Malasusa awachukie.

Muda wowote na wao watafyekwa.
Upuuzi mtupu
 
Hata mimi nimesikia tangu majuzi.
Huyu malasusa waendelee kumchekea tu. Watatamani Wakati urudi nyuma warekebishe itakuwa haiwezekani tena.
 
Kampuni kubwa kabisa Tanzania Kei kei kei tiii
 
Wachungaji wanahaha kwa hofu kuu wakihofia upanga mkali.

Kuna taarifa zimesambaa kwamba Askofu Malasusa anaunoa upanga wake kuwamaliza Mbiso na Masai.

Mbiso na Masai, kama Dk. Kimaro, pia nyota zao zinawaka kkwa kiasi Cha kumfanya Askofu Malasusa awachukie.

Muda wowote na wao watafyekwa.

Una roho ya kupenda mafarakano Sana. Mtu kapewa likizo umeanza kuzusha vitu. Mbona Mwakasege ana huduma kubwa nchi nzima lakini hana makuu.
 
Wasambaratike na wafarakane wakafanye kazi ya Mungu kwingine, wamerundikana na kujazana KKKT tu wakati Mungu anawahitaji kwingineko. Watake wasitake kufarakana ni lazima, ndio ilivyo katika kuanzisha makanisa mapya kama alivyoanzisha muasisi wa ulutheri duniani martin luther alivyojitoa kutoka ukatoliki
 
Mbona unalia shida nini?

Kabisa
 
Mbona unalia shida nini?

Nani analia. Nakuambia uache uzandiki na uchochezi. Mtu kapewa likizo miezi miwili, na ataripoti makao making baada ya Likizo, wewe unasema panga limemepitia.
 
Back
Top Bottom