balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Mung'amba katulia,anawachekiHata mimi nimesikia tangu majuzi.
Huyu malasusa waendelee kumchekea tu. Watatamani Wakati urudi nyuma warekebishe itakuwa haiwezekani tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mung'amba katulia,anawachekiHata mimi nimesikia tangu majuzi.
Huyu malasusa waendelee kumchekea tu. Watatamani Wakati urudi nyuma warekebishe itakuwa haiwezekani tena.
Hata mtt wake anaitwa michael Malasusa.Malasisa anapenda mademu! Balaaa
Kanisa la KKKT asili yake ni mafarakano, hiyo laana itaendelea kuwatafunaNani analia. Nakuambia uache uzandiki na uchochezi. Mtu kapewa likizo miezi miwili, na ataripoti makao making baada ya Likizo, wewe unasema panga limemepitia.
Usharika wa kimara na Kibanda cha mkaa kwa matoleo makubwa hawajambo!Utakuta hapo chanzo ni mambo ya maslahi aka feza
[emoji1] waamini endeleeni kuhudhuria makanisani mtoe sadaka
Ova