Upuuzi mtupuWachungaji wanahaha kwa hofu kuu wakihofia upanga mkali.
Kuna taarifa zimesambaa kwamba Askofu Malasusa anaunoa upanga wake kuwamaliza Mbiso na Masai.
Mbiso na Masai, kama Dk. Kimaro, pia nyota zao zinawaka kkwa kiasi Cha kumfanya Askofu Malasusa awachukie.
Muda wowote na wao watafyekwa.
Wachungaji wanahaha kwa hofu kuu wakihofia upanga mkali.
Kuna taarifa zimesambaa kwamba Askofu Malasusa anaunoa upanga wake kuwamaliza Mbiso na Masai.
Mbiso na Masai, kama Dk. Kimaro, pia nyota zao zinawaka kkwa kiasi Cha kumfanya Askofu Malasusa awachukie.
Muda wowote na wao watafyekwa.
Uzushi Mtupu, Apuuzwe
Tetesi...
Umbea...
Tunu yetu Wabongo
KabisaWasambaratike na wafarakane wakafanye kazi ya Mungu kwingine, wamerundikana na kujazana KKKT tu wakati Mungu anawahitaji kwingineko. Watake wasitake kufarakana ni lazima, ndio ilivyo katika kuanzisha makanisa mapya kama alivyoanzisha muasisi wa ulutheri duniani martin luther alivyojitoa kutoka ukatoliki
Mbona unalia shida nini?
Na mademuUtakuta hapo chanzo ni mambo ya maslahi aka feza
[emoji1] waamini endeleeni kuhudhuria makanisani mtoe sadaka
Ova