Niliwah kuwasiliana na huyo kijana tangu yuko secondary. Ni bata tu kalikuwa kanakula. Wakat mwingne najikumbusha ni mtt wa Askofu. Tena by then alikuwa askof mkuu.
Nani analia. Nakuambia uache uzandiki na uchochezi. Mtu kapewa likizo miezi miwili, na ataripoti makao making baada ya Likizo, wewe unasema panga limemepitia.