Hofu yatanda Telaviv watu wanakimbia hovyo

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Watu wameanza kuondoka kwenye majengo marefu!!

Barabara zimekua nyeupe kabisa watu wapo mashimoni

Yajayo yanasikitisha

Kichapo kitakachoshuka hapo Telaviv itabaki kuwa kwenye rekodi

#BREAKING: Israel’s Kann Channel reports increasing fear in Tel Aviv.

The streets are nearly empty of cars, the Azrieli Tower—a well-known skyscraper—stands mostly deserted, and the Herzliya municipality has opened its shelters.
 
Rubbish!
 
Ukiwa msibani ndiyo ambavyo huwa unalia hivyo???
Kafi ka ndope!!!
 
Masjid ubwabwa bulletin read by Sheikh Abdul Ateef Abdallah Bin Jawaadh.
 
Tofauti ya Israel na magaidi ya kiislamu ni moja.Magaidi yanatarget community fulani Israel inatarget only wahusika
 
Tofauti ya Israel na magaidi ya kiislamu ni moja.Magaidi yanatarget community fulani Israel inatarget only wahus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…