Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
LISSU na watu wake wanataka kuleta Vita .
Mabeberu wanawatumia Akina LISSU kuleta Ushoga( anasahau kua CCM haijawah kupinga ushoga hadharani )
Tukiwapa Urais Amani itapotea.
Amani ya Nchi hii tutailinda Kwa gharama zote.
Hao ni vibaka na walopokaji .
Daaah Hivi kabisa kabisa Dola kwamba ilikaa, ikafanya Vetting , ikaja na jibu kua huyu anafaa?. Au kwakua Sasa Dola inaendeshwa na Mkoa wa Mara?.
Soma Pia: Wasira atupa vijembe kwa Chadema, adai wakienda ikulu watagawana hadi vikombe
Yaan Akina Dkt Bashiru, Kabudi, Warioba , Mizengo , Hawa wote mliona hawafai?.
Ni Kweli ni Mzee wa zaman, Enzi za Uhuru, anaijua Nchi ILA UKWELI NI KUA NYAKATI NA MAJIRA VINABADILIKA.
Tanzania ya Sasa imejaa Vijana , Wasomi wanahitaji kulishwa Madini sio propaganda
Endeleeni Kukufanya Chama kiwe Cha wazeeew walojichokea, kizidi kupoteza Mvuto Kwa Vijana, wasomi, watu waishio Mijini.
Mzee Wassira atawakamata wale Wazee wa zaman, wanaoamini Amani inaletwa na CCM tu .
Duuh kazi kwelikweli !!.