Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Aziza hawapo hivo🤣🤣Aziza na Elizabeth ni matapeli kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aziza hawapo hivo🤣🤣Aziza na Elizabeth ni matapeli kabisa
Ongeza hapo MELANIA..1: Fatuma
2: Mariam
3: Mwajuma
4: Rehema
5: Irene
6: Zuena
7: Anitha
8: Diana
9: Khadija
10: Rose
11: Aisha
12: Asha
13: Shani
14: Jacklynn (jacky)
15: Amina
Nashindwa kuelewa kama ni kutokana na umaarufu wa majina haya kupewa wasichana wengi au ni force ipo nyuma ya haya majina.
By the way, am sorry if I am offending anybody.
Aisee😁Nafuu jina la nyongo mkalia ini wangu halipo
Eehh Baba kalinde haka katoto