Mtu akitoa hoja yake kuhusu jambo Fulani haimaanishi anataka mabishano, kama unapinga hoja yake basi Pinga kwa hoja na ushaidi, chaajabu mtu analeta mipasho na matusi ! Unategemea Nini?Unapenda kupata majibu sahihi kwa hoja au tayari unakuwa na majibu yako kichwani na usiporidhika unakuwa mkali?
Vitu vingine uwe mvumilivu na uendane navyo hivyohivyo.Kuna binadamu kwa asili yao ni wasumbufu tu.Ukisimamia kanuni au taratibu unazoamini ndizo sahihi zitumike utaugua kichwa.Mtu akitoa hoja yake kuhusu jambo Fulani haimaanishi anataka mabishano, kama unapinga hoja yake basi Pinga kwa hoja na ushaidi, chaajabu mtu analeta mipasho na matusi ! Unategemea Nini?
Unamchokoza?ππππUmeandika takataka View attachment 3597444
Swali la msingi si kama Issa (Yesu) alibatizwa, bali ubatizo huo ulikuwa na maana gani?OMKEIT 93
Isa alibatizwa?
Mbona unajibu vitu havina logic wala sijakuuliza? Au hujaelewa swali?Swali la msingi si kama Issa (Yesu) alibatizwa, bali ubatizo huo ulikuwa na maana gani?
Kwa mujibu wa Injili, Yesu alibatizwa na Yohana Mbatizaji. Lakini Wakristo wenyewe wanaamini Yesu hakuwa mwenye dhambi. Sasa ikiwa ubatizo ulikuwa wa kutubu dhambi, Yesu alikuwa anatubu dhambi gani ilhali wanaamini hakuwa na dhambi?
Kwa mtazamo wa Kiislamu, Issa bin Maryam alikuwa Nabii wa Allah, si Mungu wala mwana wa Mungu. Hivyo kitendo cha kubatizwa hakiwezi kuwa ushahidi wa uungu wake. Kinyume chake, kinaonyesha alikuwa mja wa Allah anayefuata amri za Allah kama Mitume wengine.
"Je, kubatizwa kunamfanya mtu kuwa Mungu? Kama jibu ni hapana, basi hoja ya Issa kubatizwa inathibitisha nini hasa?"
Hoja kuu ni kwamba kubatizwa kwa Issa hakuthibitishi uungu wake, bali ni tukio la maisha yake ambalo lina tafsiri tofauti katika dini tofauti.
Kama halina logic mbona ukajibu?Kwani wewe Hilo swali lako Lina logic gani?