Halafu vyanzo vyao vya mapato vitakuwa vipi??
Ukisema kila Jimbo lijitegemee Kuna majimbo yatabakia maskini sana.
Hizo ni mbwembwe tu,kinachotakiwa makusanyo ya pesa ya Mkoa husika 70% yabaki kwa shughuli za Maendeleo na 30% iende serikali kuu.Hoja: Mbunge awe Mkuu wa Serikali katika Wilaya.
Katika Katiba Mpya, Nafikiri kuna umuhimu kufanya mageuzi ya muundo wa utawala na uongozi wa kisiasa nchini. Mbunge wa kuchaguliwa, awe ni Mkuu wa serikali katika Wilaya, aongoze kuanzia baraza la Usalama Wilaya, (Kamati ya ulinzi na Usalama). Vichache hivyo mkuu wa Mkoa apatikane kwa kuchaguliwa na ndie awe mkuu wa serikali ya mkoa. Hili litaondoa mkanganyiko ulipo sasa katika nchi yetu kutumik miundo miwili ya kutawala.
Mfano, Kuna miundo miwili inaongoza serikali katika nchi moja. Kwanza ni kuanzia Mwenyekiti wa Mtaa/Kitongoji ni Mkuu wa serikali ya Kitongoji/Mtaa, Diwani wa Kata ni Mkuu wa Serikali ya kata. Pili ni kuanzia kwa Mkuu wa Wilaya ambae si wa kuchaguliwa anakuwa ndie mkuu wa serikali, wakato huo katika Wilaya hiyo hiyo kuna kuwa na Mbunge ambae ni waluchaguliwa akiongoza watu na kuwakilisha matatizo/mahitaji ya watu lakini hana uwakilishi wa moja kwa moja kwa mkuu wa nchi ambae watu wamemchagua (rais). Badala yake Rais anawakilishwa na Mku wa Wilaya/Mkoa ambae hana uhusiano wa moja kwa moja na wananchi.
Hili linaleta pengo la Wananchi kumfikia Rais wao. Lakini pia linaongeza gharama ya uendeshaji wa serikali kwakuwa kuna serikali mbili ndani ya nchi moja. Yaani kuanzia Mtaa hadi kata kuna serikali y kuchaguliwa na wananchi ambayo inafanya kazi moja kwa moja na Wananchi hao. Pili kuanzia Wilaya kuna serikali mbili moja imechaguliwa na wananchi na inawakilisha wananchi, lakini inakatika uwakilishi wake kwakuwa haimfikii Rais kama mwakili wa wananchi waliomchagua rais, inamegeka na kuelekea Bungeni. Badala yake Rais ametuma mwakilishi wake (kisiasa tu) ambae hana mizizi kwa wananchi na hawafiii wananchi walipo, ana udola tu anaitwa Mkuu wa Wilaya/Mkoa, Kama ni uwakilishi wa rais kiserikali ulitakiwa kukomea kwa Mkurugenzi. Cheo hiki cha udola wa DC na RC kilitakiwa kubebwa na kutumikiwa na Mbunge wa kuchaguliwa kama nchi zingine wanamuita Gavana. Anakuwa na full control ya Polisi Wilaya, chini yake anakuwepo mtendaji ambae ni Mkurugenzi atakayepatikana kwa kuomba kazi hiyo kupitia mchakato wa kiutumishi katika Wilaya/Mkoa.
Kwamantiki ya mabadiliko hayo, Majimbo yatafutwa na badala yake tutakuwa na Mbunge wa Wilaya, Nafasi za DAS na RAS ambazo leo ni za kisiasa tu, zinafutwa. Kazi zao atazifanya Mkurugenzi. Vigezo vya ubunge vitabadilika, viwe kuanzia shahada moja na kuendelea, kuliko iliyo sasa ambapo sifa ya kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika kiswahili tu, Yaani mtu yoyote anaweza kuwa Mbunge, kisha anakwenda kutunga sheria bungeni ambazo sheria hizo, zinataka Mtu anayetakiwa kwenda kuzitumia yaani mwanasheria, lazima asome shahada ya kwanza ya sheria miaka mitatu/minne, kisha aende kusoma shule ya sheria miaka mitatu, akafanye mazoezi kwa vitendo mwaka mmoja ndipo atunukiwe leseni ya kuzutumikia sheria zilizotungwa na mambumbu wanaojua kusoma na kuandika tu kisha wakawa Wabunge wa Tanzania.
Naleta hoja.
Na Yericko Nyerere
View attachment 2549764
Majimbo yote kasoro la Kaskazini na Pwani.Mfano jimbo gani?
Rais ni mkuu wa Executive lakini ni mbunge, na ni sehemu ya mahakama....🤣Mbunge hawezi kuwa mkuu wa serikali. Ni muhimu na ni lazima kuwepo na mstari wa kutenganisha Executive/dola na Parliament/bunge.
Rais sio Mbunge ni sehemu ya Bunge na sio sehemu ya mahakama.Rais ni mkuu wa Executive lakini ni mbunge, na ni sehemu ya mahakama....🤣
safi kabisaNakazia
Iwe katika Mkoa, kama RC anaweza kuzungukia Mkoa mzima na kushughulikia kero, mbunge anashindwaje kuzungukia mkoa kwa miaka mitano
Ifike wakati wananchi tuchague watu wa kufanya nao kazi na kuwafukuza sisi wenyewe badala ya kuletewa
Rais ni mbunge kupitia mawaziri, ndiyo maana bunge linazinduliwa na RaisRais sio Mbunge ni sehemu ya Bunge na sio sehemu ya mahakama.
Sahihi kabisaU
Ulikuwa unamaanisha hawa wabunge kama mzee Mdee, Gwajima, Msukuma?
Ukishakuwa na huo mfumo, nani atamsimamia mwenzie?
Wabunge wabakie kama wabunge, wakuu wa wilaya wafutwe kabisa, hawana maana yoyote.
Huo ni uelewa wako ambao haupo hivyo kikatiba.Rais ni mbunge kupitia mawaziri, ndiyo maana bunge linazinduliwa na Rais
Mkuu ndani ya wilaya kuna Mkuu wa Wilaya, DAS, MBUNGE, Mwenyekiti wa Halmashauri na DED; wote hao 5 ni wazito na kazi zao ukiziangalia kwa makini ni kumtumikia wananchi ndani ya wilaya kiutawala tu. Hii ni miundo ya kujihami kwenye siasa zetu za kiafrika. Kiuhalisia kulikuwa hakuna sababu ya kuwa na Mkuu wa Wilaya na DAS. Mwenyekiti wa Baraza la Madiwani ndie angekuwa mbadala wa DC na Mkurugenzi wa Halmashauri ndio angekuwa mbadala wa DAS, huyu angeomba kazi hiyo kwa mamlaka husika na Mwenyekiti wa Halmashauri angechaguliwa na Wananchi wa wilaya husika miongoni mwa madiwani waliopo kwenye wilaya hiyo.Kiongozi Nyerere,hebu pitia Katiba hii chakavu,soma kazi za Mbunge,na mgawanyo wa majukumu ya Mhimili(pillars) hizi tatu(3) za dola,then urudi tena
Labda ungesema DC ambaye ndie Mkuu wa Serikali,katika wilaya awe anachaguliwa na wananchi na apewe majukumu makubwa zaidi kikatiba
Tuwe na majimbo kila Jimbo liwe na bunge lake lipange mambo yake
Mkuu punguza ubishi, wale wabunge 10 wanaenda kumwakilisha nani pale bungeni? sheria anasaini nani? budget n.kHuo ni uelewa wako ambao haupo hivyo kikatiba.
Waziri ni waziri na Rais ni Rais.
Rais angekuwa Mbunge angeingia bungeni bila ruhusa.
Ila hawezi mpaka itike idhini ya Bunge kuingia na kuhutubia.
Rais ni sehemu ya Bunge kwakua anaidhinisha Sheria zote zinazopitishwa na Bunge na pia bajeti.
Ni sawa na mfumo wa majimbo kwenye federal states pia kuna governors na mayors na kila mtu hapo wana majina tofauti tu.Mkuu ndani ya wilaya kuna Mkuu wa Wilaya, DAS, MBUNGE, Mwenyekiti wa Halmashauri na DED; wote hao 5 ni wazito na kazi zao ukiziangalia kwa makini ni kumtumikia wananchi ndani ya wilaya kiutawala tu. Hii ni miundo ya kujihami kwenye siasa zetu za kiafrika. Kiuhalisia kulikuwa hakuna sababu ya kuwa na Mkuu wa Wilaya na DAS. Mwenyekiti wa Baraza la Madiwani ndie angekuwa mbadala wa DC na Mkurugenzi wa Halmashauri ndio angekuwa mbadala wa DAS, huyu angeomba kazi hiyo kwa mamlaka husika na Mwenyekiti wa Halmashauri angechaguliwa na Wananchi wa wilaya husika miongoni mwa madiwani waliopo kwenye wilaya hiyo.
Jambo kama huelewi ukielezwa jifunze.Mkuu punguza ubishi, wale wabunge 10 wanaenda kumwakilisha nani pale bungeni? sheria anasaini nani? budget n.k
Sawa asanteJambo kama huelewi ukielezwa jifunze.
Hivi kweli huyu nae ni great thinker?Hoja: Mbunge awe Mkuu wa Serikali katika Wilaya.
Katika Katiba Mpya, Nafikiri kuna umuhimu kufanya mageuzi ya muundo wa utawala na uongozi wa kisiasa nchini. Mbunge wa kuchaguliwa, awe ni Mkuu wa serikali katika Wilaya, aongoze kuanzia baraza la Usalama Wilaya, (Kamati ya ulinzi na Usalama). Vichache hivyo mkuu wa Mkoa apatikane kwa kuchaguliwa na ndie awe mkuu wa serikali ya mkoa. Hili litaondoa mkanganyiko ulipo sasa katika nchi yetu kutumik miundo miwili ya kutawala.
Mfano, Kuna miundo miwili inaongoza serikali katika nchi moja. Kwanza ni kuanzia Mwenyekiti wa Mtaa/Kitongoji ni Mkuu wa serikali ya Kitongoji/Mtaa, Diwani wa Kata ni Mkuu wa Serikali ya kata. Pili ni kuanzia kwa Mkuu wa Wilaya ambae si wa kuchaguliwa anakuwa ndie mkuu wa serikali, wakato huo katika Wilaya hiyo hiyo kuna kuwa na Mbunge ambae ni waluchaguliwa akiongoza watu na kuwakilisha matatizo/mahitaji ya watu lakini hana uwakilishi wa moja kwa moja kwa mkuu wa nchi ambae watu wamemchagua (rais). Badala yake Rais anawakilishwa na Mku wa Wilaya/Mkoa ambae hana uhusiano wa moja kwa moja na wananchi.
Hili linaleta pengo la Wananchi kumfikia Rais wao. Lakini pia linaongeza gharama ya uendeshaji wa serikali kwakuwa kuna serikali mbili ndani ya nchi moja. Yaani kuanzia Mtaa hadi kata kuna serikali y kuchaguliwa na wananchi ambayo inafanya kazi moja kwa moja na Wananchi hao. Pili kuanzia Wilaya kuna serikali mbili moja imechaguliwa na wananchi na inawakilisha wananchi, lakini inakatika uwakilishi wake kwakuwa haimfikii Rais kama mwakili wa wananchi waliomchagua rais, inamegeka na kuelekea Bungeni. Badala yake Rais ametuma mwakilishi wake (kisiasa tu) ambae hana mizizi kwa wananchi na hawafiii wananchi walipo, ana udola tu anaitwa Mkuu wa Wilaya/Mkoa, Kama ni uwakilishi wa rais kiserikali ulitakiwa kukomea kwa Mkurugenzi. Cheo hiki cha udola wa DC na RC kilitakiwa kubebwa na kutumikiwa na Mbunge wa kuchaguliwa kama nchi zingine wanamuita Gavana. Anakuwa na full control ya Polisi Wilaya, chini yake anakuwepo mtendaji ambae ni Mkurugenzi atakayepatikana kwa kuomba kazi hiyo kupitia mchakato wa kiutumishi katika Wilaya/Mkoa.
Kwamantiki ya mabadiliko hayo, Majimbo yatafutwa na badala yake tutakuwa na Mbunge wa Wilaya, Nafasi za DAS na RAS ambazo leo ni za kisiasa tu, zinafutwa. Kazi zao atazifanya Mkurugenzi. Vigezo vya ubunge vitabadilika, viwe kuanzia shahada moja na kuendelea, kuliko iliyo sasa ambapo sifa ya kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika kiswahili tu, Yaani mtu yoyote anaweza kuwa Mbunge, kisha anakwenda kutunga sheria bungeni ambazo sheria hizo, zinataka Mtu anayetakiwa kwenda kuzitumia yaani mwanasheria, lazima asome shahada ya kwanza ya sheria miaka mitatu/minne, kisha aende kusoma shule ya sheria miaka mitatu, akafanye mazoezi kwa vitendo mwaka mmoja ndipo atunukiwe leseni ya kuzutumikia sheria zilizotungwa na mambumbu wanaojua kusoma na kuandika tu kisha wakawa Wabunge wa Tanzania.
Naleta hoja.
Na Yericko Nyerere
View attachment 2549764
Mawazo ya Bangi ukichanganya na Bamia mbichi.Hoja: Mbunge awe Mkuu wa Serikali katika Wilaya.

Jasusi hapa mie nina mawazo tofauti kabisa na ya kwako, kwa watu wetu na haina ya wabunge tunaowapata please please waache wakafanye mambo yao bungeni tu. Swala la maendeleo linatakiwa kuwachia wataalamu ambao watasimama katika taaluma zao. Tatizo la nchi yetu ni staffing watu hawapewi kazi kutokana na uwezo wao zaidi ni technical know who, watoto wao, vimada na uchawa.Hoja: Mbunge awe Mkuu wa Serikali katika Wilaya.