HOJA: Mbunge awe Mkuu wa Serikali katika Wilaya

Yeriko ameharibika kabisa siku hizi! Ujinga gani huu unapendekeza?
Lengo kubwa la kuwa na Bunge, serikali na Mahakama ni CHECKS AND BALANCE.

Sasa ukishakuwa na Mbunge halafu ndio huyo huyo Serikali, hiyo checks and balances itafanyikaje.

Na kiuhalisia siku zote, serikali ni SHETANI takataka linaloumiza wananchi, ni lazima kuwe na namna ya kuli-hold accountable hasa kupitia Bunge
 
Mkuu upo sahihi kabisa. Hii Nchi ni kubwa sana, haipendezi hata choo cha shule ya awali ama msingi kauli lazima itoke Dodoma. Leo hata Serikali za Mitaa (Local Government )ime-mezwa na Serikali Kuu (Central Government ), Serikali za Mitaa siku hizi hazina vyazo vya Mapato ya kueleweka. Muda umefika sasa tubadilishe Muundo wa Serikali.
Hii italeta ukabila. Iwapo akija hata Askofu, au Captain wa Yanga, au Mganga Mkuu, au hata Bwana Shamba, lazima tu asiye wa pale ataitwa mgeni au atadharaulika, watu kama Wasukuma na Wanyakyusa lugha yao ndiyo itakuwa lugha rasmi. Wakati mimi niko Middle School darasa la 6, Headmaster alikuwa Mchagga, Askofu alikuwa Mzungu, Bwana Shamba alikuwa Mhaya na Captain wa timu ya Mwadui alikuwa Mjaluo. Baadaye nikarnda Tanga kwa Wazigua na Waislamu, huku wakiniita Mnyamwezi. Nikaajiriwa Mamlaka ya Korosho Newala baada ya kupita JKT Mlalo. Hiyo Tanzania, wanachotaka CHADEMA wajitawale Kikabila kwa sababu wanajiona ni bora na wanatengwa na Waranzania. Tusikubali.
 
Mkuu LGF wewe ni GT humu JF na kutokana na historia yake unafahamu fika kuwa leo ukabila umepungua kwa asilimia 90 ukilinganisha na wakati huo. Wakati huo Newala wamakonde walikuwa asilimia 99. 9 na hao waliobaki ni wafanyakazi. Kwa hiyo usiogope, maana utaratibu huo utaleta maendeleo ya uhakika, kwani kila wilaya inapata bajeti yake kutoka Serikali Kuu, hivyo kwa kuwa Serikali ipo kwa wananchi sehemu husika hakuna fedha itatoka kwenda nje ya Wilaya hiyo. Mkuu tumeona na tunashuhudia fedha za miradi za wilaya husika zinapigwa panga na kwenda kuendeleza kwa wahusika wa wilaya ingine wanakotoka. Mkuu mjenga Nchi ni Wananchi ; na hivyo hivyo kwa wilaya - mjenga wilaya ni wananchi wa Wilaya husika.
 
Jasusi hapa mie nina mawazo tofauti kabisa na ya kwako, kwa watu wetu na haina ya wabunge tunaowapata please please waache wakafanye mambo yao bungeni tu. Swala la maendeleo linatakiwa kuwachia wataalamu ambao watasimama katika taaluma zao. Tatizo la nchi yetu ni staffing watu hawapewi kazi kutokana na uwezo wao zaidi ni technical know who, watoto wao, vimada na uchawa.
Mtu hajawahi hata kuongoza idara ya watu sita leo anachaguliwa waziri hapa unategemea kweli maajabu ya maendeleo??? Watoto wao ambao toka wanazaliwa na babu zao hawajawahi hata kutembea dk 10 kwenda shule huyu hataweza tatua shida za jamii anayoingoza.
Kikubwa ni serikali kupunguziwa kabisa majukumu ya kiutendaji katika kuletea watu maendeleo, wao wabaki katika kutunga na kusimamia sera tu tena hao wabunge wawe kweli watu wenye sifa, uzoefu, weledi na records za accomplishment. Tunataka kama Tanesco isimame yenyewe bila wanasiasa, kama Idara ya Maji basi wafanyakazi wajue wajibu wao wautimize. Ebu angalia utendaji wa Africa kusini na nafasi za wanasiasa kule tujifunze kule hapa tuwapunguzie umuhimu wabunge na wanasiasa wote. wabakie katika uwakilishi tu na sio maamuzi hawa wamekaa miaka zaidi ya 60, wenzao india, dubai na kwengineko wameweza wao wamekalia ubishi usio na maana tu.
Big-up Mkuu, huwa napenda kusoma watu wenye uchambuzi hai kama huu. Ahsante
 
Hilo nalo mkalitizame katika Katiba Mpya badala ya kulihamishia hadi chini kwenye Wilaya na Halmashauri.
Rais ni mkuu wa Executive lakini ni mbunge, na ni sehemu ya mahakama....[emoji1787]
 
Iko vizuri hiyo hoja, haina maana kuwa na kiongozi wa kuteuliwa.
 
Yeriko unafirisika kifkra vibaya sana..

Uharisho gani unaandika.. Shida ya wachambuzi wasiasa kutokusoma siasa
 
Hoja: Mbunge awe Mkuu wa Serikali katika Wilaya.

Katika Katiba Mpya, Nafikiri kuna umuhimu kufanya mageuzi ya muundo wa utawala na uongozi wa kisiasa nchini. Mbunge wa kuchaguliwa, awe ni Mkuu wa serikali katika Wilaya, aongoze kuanzia baraza la Usalama Wilaya, (Kamati ya ulinzi na Usalama). Vichache hivyo mkuu wa Mkoa apatikane kwa kuchaguliwa na ndie awe mkuu wa serikali ya mkoa. Hili litaondoa mkanganyiko ulipo sasa katika nchi yetu kutumik miundo miwili ya kutawala.

Mfano, Kuna miundo miwili inaongoza serikali katika nchi moja. Kwanza ni kuanzia Mwenyekiti wa Mtaa/Kitongoji ni Mkuu wa serikali ya Kitongoji/Mtaa, Diwani wa Kata ni Mkuu wa Serikali ya kata. Pili ni kuanzia kwa Mkuu wa Wilaya ambae si wa kuchaguliwa anakuwa ndie mkuu wa serikali, wakato huo katika Wilaya hiyo hiyo kuna kuwa na Mbunge ambae ni waluchaguliwa akiongoza watu na kuwakilisha matatizo/mahitaji ya watu lakini hana uwakilishi wa moja kwa moja kwa mkuu wa nchi ambae watu wamemchagua (rais). Badala yake Rais anawakilishwa na Mku wa Wilaya/Mkoa ambae hana uhusiano wa moja kwa moja na wananchi.

Hili linaleta pengo la Wananchi kumfikia Rais wao. Lakini pia linaongeza gharama ya uendeshaji wa serikali kwakuwa kuna serikali mbili ndani ya nchi moja. Yaani kuanzia Mtaa hadi kata kuna serikali y kuchaguliwa na wananchi ambayo inafanya kazi moja kwa moja na Wananchi hao. Pili kuanzia Wilaya kuna serikali mbili moja imechaguliwa na wananchi na inawakilisha wananchi, lakini inakatika uwakilishi wake kwakuwa haimfikii Rais kama mwakili wa wananchi waliomchagua rais, inamegeka na kuelekea Bungeni. Badala yake Rais ametuma mwakilishi wake (kisiasa tu) ambae hana mizizi kwa wananchi na hawafiii wananchi walipo, ana udola tu anaitwa Mkuu wa Wilaya/Mkoa, Kama ni uwakilishi wa rais kiserikali ulitakiwa kukomea kwa Mkurugenzi. Cheo hiki cha udola wa DC na RC kilitakiwa kubebwa na kutumikiwa na Mbunge wa kuchaguliwa kama nchi zingine wanamuita Gavana. Anakuwa na full control ya Polisi Wilaya, chini yake anakuwepo mtendaji ambae ni Mkurugenzi atakayepatikana kwa kuomba kazi hiyo kupitia mchakato wa kiutumishi katika Wilaya/Mkoa.

Kwamantiki ya mabadiliko hayo, Majimbo yatafutwa na badala yake tutakuwa na Mbunge wa Wilaya, Nafasi za DAS na RAS ambazo leo ni za kisiasa tu, zinafutwa. Kazi zao atazifanya Mkurugenzi. Vigezo vya ubunge vitabadilika, viwe kuanzia shahada moja na kuendelea, kuliko iliyo sasa ambapo sifa ya kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika kiswahili tu, Yaani mtu yoyote anaweza kuwa Mbunge, kisha anakwenda kutunga sheria bungeni ambazo sheria hizo, zinataka Mtu anayetakiwa kwenda kuzitumia yaani mwanasheria, lazima asome shahada ya kwanza ya sheria miaka mitatu/minne, kisha aende kusoma shule ya sheria miaka mitatu, akafanye mazoezi kwa vitendo mwaka mmoja ndipo atunukiwe leseni ya kuzutumikia sheria zilizotungwa na mambumbu wanaojua kusoma na kuandika tu kisha wakawa Wabunge wa Tanzania.

Naleta hoja.

Na Yericko Nyerere
View attachment 2549764
Jua kwanza maana ya SERIKALI ndo utafakari kama unayemnyenyekea akupe KURA kama unaweza kumuwajibisha!!
 
Sasa ndugu hapa ni sawa na Nchi kuingia katika mfumo wa jimbo??, Hivi Zitto awe mkuu wa serikali hawezi kutangazia umma kuwa kasulu ni Nchi inayojitegemea?.
 
Sio kila mwanasiasa ni kiongozi tambua hilo!
Ikiwa hivyo wilaya nyingi zitakuwa na viongozi manunda haswaaaa!
 
ni hoja nzuri, lakini chawa wataku

Ni hoja nzuri, lakini chawa watakula wapi?
 
Kwenye hili umechemka. Lazima tutofautishe kati ya serikali na wawakilishi wa wananchi.
 
Hoja dhaifu kwa sababu ukichanganya legislative powers na executional powers kwa pamoja unaiminya democracy.
Pia ukumbuke kuwa rais ni mbunge (Parliament = National assembly + The President).
Ukitaka kugawa mkate mara mbili usiwe wa kwanza kuchagua kipande.
Rais sio mbunge ila nisehemu ya bunge
 
Hizo ni mbwembwe tu,kinachotakiwa makusanyo ya pesa ya Mkoa husika 70% yabaki kwa shughuli za Maendeleo na 30% iende serikali kuu.
Ata tukibadilisha hizo nafasi kutakuwa na impact gani?mchawi wa maendeleo ni serikali kuu kukusanya fedha zote za Mikoani na kuweka kwenye kibubu cha taifa ambako huko ndiyo chain ya wizi inaanzia.Tuachane na vyeo kwanza tupiganie mfumo mzuri wa matumizi ya Fedha za umma.
Uko sahihi yaani 50 to 60% ya Kodi ibaki kuendeleza sehemu kodi ilipokusanywa! Juzi karibu nitoe machozi eti hospitali ya mkoa Geita haina dawa kabisa halafu ina wafanyakazi 12 tu wakati mkoa huu hutoa 60% dhahabu exports jumla 2022 ni zaidi ya tripni 6! Kwa nini hata trioni 1 isibaki Geita? Ni akili kweli?
 
Back
Top Bottom