Hyo nyimbo inaitwa FREEMASON/WAJENZI HURU. One of my favourite song of AT. Kikubwa kilicho wakutanisha hawa RAIA watatu ilikuwa ki fast spreading ya maneno kwamba mason ndiyo inayowapa chapaa na siyo kipaj chao halisi. HIVYO WALIAMUA KUJIBU HUMO kwenye hyo ngoma.>>>> refers 1/RICK ROSS- Free Mason, freelancer, free agents, we faster Big contracts, big contractors Built pyramids, period wemasters 2/JAY Z-Bitch I said I was amazing Not that Im a Mason Its amazing that I made it through the maze that I was in Lord forgive me I never wouldve made it without sin . 3/JOHN LEGEND-Never say Legend didn't go in (Imma go in) I just wanna die on top of the world HII NYIMBO NI HATAR SANA KWA SISI WAPENDA BURUDANI ZA MBELE