HOJA NDANI YA HOJA: Rais Magufuli na bahati nasibu ya korona - ITALIPA?

Me naona tu kwa africa yote hawa virus sio rafiki na mazingira ya huku. Tangu uingie ni karibu mwezi sasa. Mbona kila kitu kingekuwa wazi.
Umaskini wetu ndio unafanya tusiwe na vifaa kuwagundua wagonjwa wengi zaidi hilo huwezi laumu maana karibu africa yote hali ya kiuchumi inajulikana si nzuri.
Na bado eti watu wasitoke nje tutakufa njaa aisee.
 
Nyie watu mna underrate Sana Rais wetu, kwa mfano, unakuta mtu anamlalamikia Rais et kwa nini hajafunga mipaka wakati hilo suala ni la kiusalama si kila mtu anapaswa kujua, mipaka ilishafungwa kitambo kabla hata ya majirani wengine kufunga
Acha uongo wewe. Dar Mjini mtaa wa nkurumah kuna hotel inaitwa Esiya jana na leo yameingia mabasi almost 8 yote yamejaa wachina wamewaweka pale .

Mbele yake tena kuna hotel inaitwa Kibodya napo kuna mabasi yameingia sasa hao wachina wanatokea wapi?
 
Mficha maradhi ugonjwa humuumbua,huu uongo wa aki a ummy urajulikana muda si mrefu, time will tell.
 
MY TAKE
Swali ni je! Nchi kama Uganda walifunga mipaka kabla hata ya ugonjwa kuingia mhona sasa nao wanazo kesi za COVID - 19?
Tatizo kubwa la ugonjwa huu ni maambukizi ya ndani kwa ndani na chini kwa chini; ndio msingi mkubwa wa hofu. Ni sawasawa na HIV; mtu anaweza kuwa ameambukizwa lakini haoneshi dalili yoyote na yeye akaambukiza wengine. Tofauti kubwa ni kuwa HIV inaambukizwa kwa ngono kwa kiasi kikubwa.

Italia pamoja na kuwa miongoni mwa nchi za ulimwengu huo wa kwanza mbona imefikia wakati Waziri Mkuu kanyosha Mikono kusalimu amri?
Ni kwa sababu ya maambukizi ya ndani kwa ndani na karibu kwa karibu. Walichelewa sana kuhamasisha watu kujitenga.

USA, UK, IRAN na kwengimeko pamoja na kuchukua kwao extremely measure kujikinga na ugonjwa huu mbona wana maambukizi mengi zaidi?

Ni kwa sababu hiyo hiyo; wamechelewa sana kujitenga na watu ambao walikuwa ni wabebaji wa virusi hata kama wao wenyewe hawaumwi.

KWA UJUMLA WATU TUPIGE GOTI TUMWOMBE KARIMA ATUEPUSHE NA GONJWA HILI KWAKUA JITIHADA ZA MWANADAMU HAZIZIDI KUDRA.


Sent using Jamii Forums mobile app

Mungu hatotuepusha kama sisi wenyewe hatujiepushi.
 

duh yaani unajiapiza kabisa kwamba watu watakufa! Na wasipokufa je? Ngoja nikae kimya usije kuniroga


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama Magufuli anatumia "uanasayansi" katika maamuzi ambayo amefanya mpaka hivi sasa kuhusiana na janga la KORONA. Ukifuatilia maamuzi na utendaji wa Magufuli katika majanga mbalimbali yaliyoikumba nchi yetu akiwa madarakani, utaona jinsi alivyo onesha kukosa umakini, na kwa kweli kuonesha woga na hofu inayoshangaza, hasa kwa Rais mbabe kama ambavyo amejinasibisha.
Naongelea janga la tetemeko la Bukoba, na majanga yaliyofuatia, na pia tukio la kupokea miili ya askari wetu 14 waliouawa huko DRC, ambapo alikula kona na kutafuta kisingizio cha kufungua tawi la benki ya CRDB.

Magufuli amekuwa very good katika u-commander in chief na dhaifu sana katika u-comforter in chief.

Niandikapo sasa nasikia maambukizi huko Afrika Kusini yamekuwa makali na kwa kasi. Tumeshuhudia imani kwamba sisi waafrika Kusini ya sahara kwa namna fulani tunaepuka mfumuko wa ugonjwa huu. Hapo ndio umejenga nadharia ulioeleza. Muda utaeleza.
 
AFRICANS AND EUROPEANS HAVE GENETICALLY DIFFERENT IMMUNE SYSTEMS... AND NEANDERTHALS HAD SOMETHING TO DO WITH IT


The immune system can be highly active in some people but much less effective in others. This has major implications for the protection of the organism against pathogens – but what is the reason for these differences? To lay the foundations for the establishment of personalized medicine, we need to dissect the factors that affect our response to viral and bacterial infections so that we can understand why some people are predisposed to certain diseases. In a large-scale study published this week in the prestigious journal Cell, scientists from the Institut Pasteur and the CNRS unraveled the immune responses of 200 African and European individuals. They show that there is indeed a difference in the way these populations respond to infection, that this response is largely controlled by genetics, and that natural selection has played an important role in shaping such immune profiles. They also offer proof that the genetic legacy passed on by Neanderthals to Europeans has significantly influenced their ability to respond to viral challenges.

https://www.cell.com/cell/fulltext/S0092-8674(16)31306-X

Ngoja tusikilizie
 
Haya ndio mambo muhimu,hayo mengine aliyoandika kitabu kizima ni ugoro na tantarira tupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mipaka haijafungwa mpaka sasa.
Nyie watu mna underrate Sana Rais wetu, kwa mfano, unakuta mtu anamlalamikia Rais et kwa nini hajafunga mipaka wakati hilo suala ni la kiusalama si kila mtu anapaswa kujua, mipaka ilishafungwa kitambo kabla hata ya majirani wengine kufunga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiufupi sisi wa hali ya chini tuko pamoja na rais Magufuli.

Kwa hio watu wachache wakimlaumu Magu kwa sababu hajafungia watu ndani basi isionekane kwamba ni watu wote.

Wengi wetu tusipotoka hatuli.
Iweje tuache kuwa upande nmoja na Rais magufuli?

Wanyonge tupo
 
JIRANI WOTE WAKIFUNGA MIPAKA SISI TUNAFUNGA NINI WAKATI WAMESHATUSAIDIA KAZI?
 
Dan, kweli dunia mti mkavu kiumbe usiulemee
 
Usidhani kwa kutumia fake ID ndo umefanikiwa kujificha, JF ni weak kuliko unavyo aminishwa. Jiandaekuthibitisha ulicho kiandika au futa kabisa au acha ili wajinga wenzako wakupe bichwa ila...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…