HOJA NDANI YA HOJA: Rais Magufuli na bahati nasibu ya korona - ITALIPA?

HOJA NDANI YA HOJA: Rais Magufuli na bahati nasibu ya korona - ITALIPA?

Ndugu yangu unaweza sasa ku update hii post yako?
mlipuko ni mkubwa sana na Amiri Jeshi Mkuu kajificha Chato anataka watu waombe.
Is he not a MERCHANT OF DEATHS ?
Huu ndio ulikuwa ujumbe mzito wa Mzee Mwanakijiji katika makala yake ya bahati-nasibu ya Rais John Pombe Magufuli...
  • Kwamba, Rais Magufuli, mwanasayansi aliona kuwa kwa sasa hakukuwa na ulazima wa kuifunga nchi yetu ya Tanzania kama zilivyofanya nchi nyingine zilizoendela na zenye rasilimali kutuzidi.
  • Kwamba, hofu ya Afrika kuwa kiini cha mlipuko haingekuwa na msingi tena kama nchi zetu katika umaskini wao wote zingeweza kudhibiti ugonjwa huu kwa haraka bila kulazimika kufunga nchi.
  • Kwamba, aliwataka Watanzania, ili kuzuia mlipuko, wazidi kuzingatia tu kanuni za usafi na kupunguza migusano isiyo ya lazima lakini wakati huo huo wakiendelea na shughuli zao kama kawaida.
  • Kwamba, tukifanya hivyo na kweli tukadhibiti maambukizi ya ugonjwa huu na kuhakikisha uchumi wetu hauyumbi kwa kiasi kikubwa basi bahati hii nasibu ya Magufuli; ingelipa na kulipa na kulipa.
  • Kwamba, endapo Tanzania ikajikuta kwenye mlipuko mkubwa wa korona Magufuli atabebeshwa lawama binafsi za kusababisha hilo na itabidi akiri na kuwajibika kwa maafa yatakayotokea.
Naam, siku ya malipo sasa inagonga hodi na Mzee Mwanakijiji sasa naye analazimika kutoa update ya bahati-nasibu ya hatua za kudhibiti COVID-19 nchini Tanzania...
 
Nieleze huko ilikoanzia kama ilikowahi kulipa. Wapi ililipa - Uchina, Marekani, Italy ama Uingereza? Kama hauoni kinachofuata, subiri.
Jamaa yuko marekani anafahamu aliyosema ni sawa na bahati nasibu ya maisha ya watanzania. Na amekuwa mzito hata wa kutoa ushauri tu maskini! Aliandika tu eti sijui kuhusu viwanda vya masks na sanitizers! Na baadaye akaja ni hii ya bahati nasibu ya maisha ya watanzania.

Ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni.
 
Huu ndio ulikuwa ujumbe mzito wa Mzee Mwanakijiji katika makala yake ya bahati-nasibu ya Rais John Pombe Magufuli...
  • 1. Kwamba, Rais Magufuli, mwanasayansi aliona kuwa kwa sasa hakukuwa na ulazima wa kuifunga nchi yetu ya Tanzania kama zilivyofanya nchi nyingine zilizoendela na zenye rasilimali kutuzidi.
  • 2. Kwamba, hofu ya Afrika kuwa kiini cha mlipuko haingekuwa na msingi tena kama nchi zetu katika umaskini wao wote zingeweza kudhibiti ugonjwa huu kwa haraka bila kulazimika kufunga nchi.
  • 3. Kwamba, aliwataka Watanzania, ili kuzuia mlipuko, wazidi kuzingatia tu kanuni za usafi na kupunguza migusano isiyo ya lazima lakini wakati huo huo wakiendelea na shughuli zao kama kawaida.
  • 4. Kwamba, tukifanya hivyo na kweli tukadhibiti maambukizi ya ugonjwa huu na kuhakikisha uchumi wetu hauyumbi kwa kiasi kikubwa basi bahati hii nasibu ya Magufuli; ingelipa na kulipa na kulipa.
  • 5. Kwamba, endapo Tanzania ikajikuta kwenye mlipuko mkubwa wa korona Magufuli atabebeshwa lawama binafsi za kusababisha hilo na itabidi akiri na kuwajibika kwa maafa yatakayotokea.
Naam, siku ya malipo sasa inagonga hodi na Mzee Mwanakijiji sasa naye analazimika kutoa update ya bahati-nasibu ya hatua za kudhibiti COVID-19 nchini Tanzania...
Mkubwa, naomba ''nimtetee'' Mzee Mwanakijiji, kwamba hoja namba 1 hadi 4 kama ulivyozitaja hapo juu hatua yake imepita. Sasa tupo hoja namba 5 ambayo ni kufeli kwa bahati nasibu kufuatia mlipuko na kwamba sasa ni wakati wa Wahusika kubeba lawama na si kubebeshwa.
Huwezi kucheza bahati nasibu halafu ukasema umebebeshwa lawama.

Pili, kuna hoja kwamba watu wangapi wamekufa majumbani kufuatia ile ya Zitto aliyoitoa.
Tunakataa ukweli tunaoujua wazi, kwamba, katika nchi yetu ukusanyaji wa takwimu ni mbovu.
Juzi kuna watu wa shirika lile wamefariki nyumbani, hakuna anayesema ingawa inajulikana.

Tufanye assumption kwamba Zitto hana ushahidi wa wanaofia majumbani.
Swali, ni watu wangapi wamepimwa hadi sasa ukiachilia waliotangazwa. Kuna vituo vingapi vya kupima Corona.

Mzee Mwanakijiji anafahamu kabisa kuwa Hapo N.York, Detroit na Michigan bado wana tally idadi ya vifo kwasababu kuna vilivyotokea majumbani havikuripotiwa.
Vingine vimetokana na complications za Corona ambazo watu wakawaida hawaajui. Mfano, mtu anapata cardiac arrest kwasababu alikuwa na Heart failure. Kumbe, Corona imechagiza na hicho kifo ni cha Corona.

Ndiyo maana wanasema watu wenye 'underlying diseases' kama Hypertension, Diabetic, Immunocompromise kama HIV, debilitating conditions wapo vulnerable zaidi kwa Corona.
Sasa tujiulize ni wangapi wanaougulia majumbani kwetu.

Tunaweza kutumia short cut za kubana watu kama Zitto kwa hoja nyepesi uko wapi ushahidi.
Hilo haliondoi ukweli tunaoujua.

Long story short, sasa tunaongelea kufeli kwa bahati nasibu iliyochezwa kwenye roho za Watanzania
 
Tulisema, you don't fight a pandemic by gambling.
Haya sasa wagonjwa wamefika 257!

Meanwhile, mwanakijiji jiandae kutupa updates.
 
Bahati nasibu haijalipa, watu watalipa gharama za bahati nasibu kwa thamani ya maisha yao. Lawama zitakwenda kwa wahusika bila kupepesa. Wameshindwa na Taifa limeshindwa.

Tulitahadharisha mapema sana. Corona ni novel virus hakuna anayejua Pathophyisology yake.

Tuliona tatizo, tulisema, Herd immunity itapatikana kwa gharama kubwa.
Italy, Iran, Spain wamelipa gharama hizo na bado hakuna uhakika kama herd immunity imepatikana kwani waliopona wana Test Positive.

Tulishindwa kutumia utaalam wa kawaida kabisa. Huwezi kufunga vyuo na Shule halafu wanafunzi hao hao ukawaacha wakusanyike misikitini na makanisani, it defies every logic.

Tatizo kubwa sana ni Corona inasimamiwa na Wanasiasa badala ya Wataalam.

Hao wanasiasa hawanonekani kujipanga, kila mtu anaamka na kusema lake,disorganization and chaos .

Vifo na maambukizi ni matokeo ya bahati nasibu. Serikali imeshindwa na Tanzania imefeli

Sayansi ni uhalisia si bahati nasibu. Mwezi May ni kupukutika tu kwa Raia! Tungeweza kuepusha hilo
Tulicheza mchezo hatari sana kusema kweli. Ila naona bado viongozi wetu hawataki kuongeza hatua zaidi za udhibiti.
 
Tulicheza mchezo hatari sana kusema kweli. Ila naona bado viongozi wetu hawataki kuongeza hatua zaidi za udhibiti.

Watanzania wabishi kufuata masharti Wacha waondoke na Covid-19, huo ndio ukweli. Jikinge na gonjwa hatari kama inavyoshauriwa na wataalam wa afya.
 
Tulisema, you don't fight a pandemic by gambling.
Haya sasa wagonjwa wamefika 257!

Meanwhile, mwanakijiji jiandae kutupa updates.

Hao ni wagonjwa wachache sana kwa Tanzania ukilinganisha na mataifa mengine. Sisi tunafahamu hatuna uwezo kama mataifa ya magharibi lakini basi tuwe wasikivu na kufuata masharti yanayotolewa na wataalam. Wengi wanaongelea vipimo sasa ukishapima unafanya nini hawasemi?

UK wamenunua vifaa vya kupimia lakini havifanyi kazi, soma hapa ... U.K. Paid $20 Million for New Coronavirus Tests. They Didn’t Work.. Kila nchi duniani inatafuta vifaa na njia za kuokoa raia wake sio kazi rahisi kama wengi mnavyofikiria.
 
Watanzania wabishi kufuata masharti Wacha waondoke na Covid-19, huo ndio ukweli. Jikinge na gonjwa hatari kama inavyoshauriwa na wataalam wa afya.
Watanzania ni wabishi ama wameambiwa wasijifungie ndani bali wachape kazi!!??
 
Watanzania wabishi kufuata masharti Wacha waondoke na Covid-19, huo ndio ukweli. Jikinge na gonjwa hatari kama inavyoshauriwa na wataalam wa afya.
Watz wapo zaidi ya 50 m, je wote hao wakubali kwa hiari yao kutekeleza masharti?
If that is the case, hakuna haja ya kuwa na TAMISEMI, vituo vya polisi n.k kwa kuwa 'mfalme' akitamka tu kila mtu anatekeleza perfectly.
Gambling kwenye maisha ya watu = kutoa watu kafara.
 


Msikilize Prof. Kutoka Tabora​


Umeona ehe! JPM kama kawa anatoka kidedea. Waliojifungia wanatoka sasa, huwezi kuzuia maisha yaendelee kwa haka ka-Corona ni kagonjwa kadogo tu wala tusitishike.
 
Nchi zote wanaondoa lockdown, pambaneni na corona kwa kujenga immunity yenu wenyewe.
 
Exclusive: Madagascar's president defends controversial homegrown Covid-19 cure

1589558827181.png


The Interview - Exclusive: Madagascar's president defends controversial homegrown Covid-19 cure

Credit: Marc Perelman Follow | Christophe BOISBOUVIER

In an exclusive interview with FRANCE 24 and RFI, Madagascar's President Andry Rajoelina defended his promotion of a controversial homegrown remedy for Covid-19 despite an absence of clinical trials. "It works really well," he said of the herbal drink Covid-Organics. Rajoelina claimed that if a European country had discovered the remedy, people would not be so sceptical.

Advertising

The World Health Organization (WHO) has repeatedly warned that the Covid-Organics drink, which Madagascar's Rajoelina has touted as a remedy against the deadly coronavirus, has not been clinically tested.

"What if this remedy had been discovered by a European country, instead of Madagascar? Would people doubt it so much? I don't think so," the president told FRANCE 24's Marc Perelman and RFI's Christophe Boisbouvier.

The drink is derived from artemisia – a plant with proven anti-malarial properties – and other indigenous herbs.

"What is the problem with Covid-Organics, really? Could it be that this product comes from Africa? Could it be that it's not OK for a country like Madagascar, which is the 63rd poorest country in the world... to have come up with (this formula) that can help save the world?" asked Rajoelina, who claims the infusion cures patients within ten days.

>> Covid-19 in Madagascar: The president’s controversial ‘miracle cure’

Equatorial Guinea, Guinea-Bissau, Niger and Tanzania have already taken delivery of consignments of Covid-Organics, which was launched last month.

"No one will stop us from moving forward – not a country, not an organisation," Rajoelina said in response to the WHO's concerns.

He said the proof of the tonic's efficacy was in the "healing" of "our patients", calling it a "preventive and curative remedy".

Rajoelina said Madagascar has reported 171 coronavirus infections and 105 recoveries to date, with no deaths.

"The patients who have healed have taken no other product than Covid-Organics," the president added.

Reminding viewers that Madagascar has a long history of traditional medicine, Rajoelina pointed out that many pharmaceutical drugs authorised in the West have turned out to be harmful, such as the Mediator weight loss drug in France.

(FRANCE 24 with AFP)
 
Bahati nasibu itakuwa imelipa ndio maana hakuna takwimu mpya za maambukizi.
 
No one will stop us from moving forward – not a country, not an organisation," Rajoelina said in response to the WHO's concerns.
Wazungu ni wa kukomalia haswa, tena Kwa jicho kavu lisilo na aibu ili tu ifike mahali wajue, Africa inataka Uhuru kwenye mambo yeke, Asante Raisi Rejoilina, Africa hoyee!!
 
..KUJIFUKIZA alikoshauri Jpm Madaktari wamesema ni UZUSHI.
 
Na hao wanalalama kufunga watu ndani hawajazuiwa kujifungia. Watuache sisi tuendelee kupiga kazi wap wajifungie wasijifanye wanahuruma kwetu.
Kiufupi sisi wa hali ya chini tuko pamoja na rais Magufuli.

Kwa hio watu wachache wakimlaumu Magu kwa sababu hajafungia watu ndani basi isionekane kwamba ni watu wote.

Wengi wetu tusipotoka hatuli.
Iweje tuache kuwa upande nmoja na Rais magufuli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka MARCH hadi sasa MAY, vp bahati na sibu imelipa au haijalipa?
 
Back
Top Bottom