Mbona haya mambo yako wazi kaka,
CDM kina affiliate programs and partners....
Wao ni Pro Western na haya mambo wao ndio msimamo wao kama westerners wanavyosema.
Katiba mpya hukumbuki ndio ilimpeleka jela?
Pro west ndiyo nini mkuu?
Weka majibu ya wazi hapa:
"Nini misimamo ya CDM ya Mbowe kuhusu Katiba Mpya, vita vya Ukraine, HAMAS, Gaza, Palestina, LGBTQ, nk?"
Je CDM Mbowe imefanya Nini kuwajulisha wananchi au hata wanachama kuwa ni yapi hapo wanayosimamia au wapi wasimame?